Zitto: Taarifa ya TRA kukusanya trilioni 2 ni ya kubumba

Zitto: Taarifa ya TRA kukusanya trilioni 2 ni ya kubumba

Watajijua wenyewe , acha mimi nipiganie ugali Wangu Wa kila siku
 
tatizo hii awamu fix sana ngumu kuiamini
Zito mda mfupi ujao atakabidhi chama kwa maalim sefu kisha na yeye kutimkia chama kingine,
Maana huku bara watu wanakimbia chama kila siku sasa atabaki na nani?

Kule zenji maalimu hatakubali ujingaujinga kwenye pesa ya ruzukuku, hivyo zito atajisalimisha tu.
 
ZITTO ni mpumbavu kati ya wapumbavu walio wengi nchi hii.

KILA MKOA UNA TARGET na KILE WALICHOKUSANYA na inaonekana wazi kabisa ukizijumuisha hizo amount zinafika bila shida. Mfano ukilipa kodi yoyote ile pesa inaonekana kwenye mifumo ya kodi.

Malengo huonekana na makusanyo huonekana na kwa % zake pia. So naona Zitto ni mpumbavu na asiyejielewa.
 
Kwa hali ya uchumi kwasasa ilivyo ni ngumu kwa serikali Kukusanya 2trillion kwa mwezi december ni uongo mtupu Zitto yupo sahihi kuhoji.
 
Mnataka mzibe watu midomo kana kwamba nyie ndiyo wenye hati miliki ya nchi hii.
Hamuwezi aminika kwa kupika data.
 
ZITTO ni mpumbavu kati ya wapumbavu walio wengi nchi hii.
KILA MKOA UNA TARGET na KILE WALICHOKUSANYA na inaonekana wazi kabisa ukizijumuisha hizo amount zinafika bila shida. Mfano ukilipa kodi yoyote ile pesa inaonekana kwenye mifumo ya kodi. Malengo huonekana na makusanyo huonekana na kwa % zake pia. So naona Zitto ni mpumbavu na asiyejielewa.
Mbona unakimbilia kumuita mpumbavu jee ukiitwa juha utafurahi?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Umaarufu hautafutwi kwa nguvu huja kwa maarifa na matumizi ya akili.

Serikali imetoa taarifa kwa wananchi kwamba mwezi December 2020 imekusanya kodi tsh trillion 2...
Kwani na na wewe ni nani kuanza kuhoji uhalali wa Zitto kukinzana na taarifa ya TRA?

Ulichokifanya wewe na alichokifanya Zitto vyote viko sawa, kimsingi ni kwamba ninyi nyote mnatumia haki yenu ya msingi Kikatiba; ambayo ni haki ya kutoa maoni. Period.

Kheri ya Mwaka Mpya mkuu.
 
Back
Top Bottom