Zitto: Taarifa ya TRA kukusanya trilioni 2 ni ya kubumba

Zitto: Taarifa ya TRA kukusanya trilioni 2 ni ya kubumba

Zitto ni Zitto
We ni nani hadi uiamini hiyo TRA?

Kwa taarifa yako ukiamini kila taarifa mbeleni utalia kwa uliowaamini. (Never trust anybody)
Hivi kweli December tu hicho kiasi?

Lakini pia jenga tabia ya kujiridhisha kwanza kwa kila jambo ndiposa uamini hizo taarifa
 
Wanajitia upofu, bangi mbaya sana
Kwa hali ya uchumi kwasasa ilivyo ni ngumu kwa serikali Kukusanya 2trillion kwa mwezi december ni uongo mtupu Zitto yupo sahihi kuhoji.
 
Tanzania imebeba image ya mtu mmoja na kutambulika duniani Kwa uongo uongo eti covid Tz hamna mpaka leo wazungu wanacheka.Eti dunia nzima Tz ndo haina covid case.
Weka data
 
Zito ni mchumia tuu km kina mbowe,wanatengeneza tonge kwa kutumia akili za wapumbavu wachache wanaoamini kila saa serkal haiko sawa..mtakaa ssana
 
Zitto ni Zitto
We ni nani hadi uiamini hiyo TRA?
Kwa taarifa yako ukiamini kila taarifa mbeleni utalia kwa uliowaamini. (Never trust anybody)
Hivi kweli December tu hicho kiasi?
Lakini pia jenga tabia ya kujiridhisha kwanza kwa kila jambo ndiposa uamini hizo taarifa
TRA long form is:
T-Tanzania
R-Real
A-Antidevelopment body
 
Huyu Zitto Kabwe ni nani hasa maana hata bungeni hayumo?!
Huyo ni kiongozi mkuu wa chama cha ACT, chama kimojawapo maarufu cha siasa nchini Tanzania, kifupi yeye ni mwanasiasa na ni miongoni mwa public figures nchini humo na ni mtaalamu wa Uchumi na ameshakuwa mbunge kwa vipindi kadhaa.
 
Zito ni mchumia tuu km kina mbowe,wanatengeneza tonge kwa kutumia akili za wapumbavu wachache wanaoamini kila saa serkal haiko sawa..mtakaa ssana
Wewe mwenyewe ni kilaza tu
 
Back
Top Bottom