Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Kwahiyo Zitto haiamini taasisi moja ya Serikali ila anaiamini taasisi nyingine ya Serikali hiyo hiyo! Abahahahahahahah!Tatizo hii awamu fix sana ngumu kuiamini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo Zitto haiamini taasisi moja ya Serikali ila anaiamini taasisi nyingine ya Serikali hiyo hiyo! Abahahahahahahah!Tatizo hii awamu fix sana ngumu kuiamini.
Huo ndo ukweli,Zito keshajipatia zake saccos kule..inatosha...apige zake blah blah wala hamna jipya...tumemzoea..Wewe mwenyewe ni kilaza tu
Ufipa ndipo kiwanda cha uchakataji wa uongo na uzushi duniani kilipo.Lumumba ni kiwanda cha uongo na majungu
Hata Mungu alipingwa na waisrael jangwani.Kwani serikali ni Mungu mpaka isipingwe au kuhojiwa?
Tatizo takwimu za serikali siku hizi Zina utatoa hivyo kila mtu anataka kujiridhisha na ukweli wa takwimu hizo.Ili ujue uhalali wa takwimu hizo ni kwenda kuyachimbua makabrasha yao ya BOT na hiyo ni haki ya kila mtanzania kupata takwimu zilizo sahihi na kea wakati sahihi na Kama unafikiri takwimu hizo si sahihi pia una haki ya kuzihoji.Kwani huko anakokimbilia BoT siyo serikali?!
Swali la kijinga kutoka kwa mtu mjinga anayeamini kuwa ofisi yoyote ikitoa taarifa yoyote watu hawastahili kuhoji.Umaarufu hautafutwi kwa nguvu huja kwa maarifa na matumizi ya akili.
Serikali imetoa taarifa kwa wananchi kwamba mwezi December 2020 imekusanya kodi tsh trillion 2..
Heri kwako pia bwashee!Kwani na na wewe ni nani kuanza kuhoji uhalali wa Zitto kukinzana na taarifa ya TRA?
Ulichokifanya wewe na alichokifanya Zitto vyote viko sawa, kimsingi ni kwamba ninyi nyote mnatumia haki yenu ya msingi Kikatiba; ambayo ni haki ya kutoa maoni. Period.
Kheri ya Mwaka Mpya mkuu.
Hahahaaaa, Wewe ndio mjinga unayemwamini Zitto!Swali la kijinga kutoka kwa mtu mjinga anayeamini kuwa ofisi yoyote ikitoa taarifa yoyote watu hawastahili kuhoji.
Karibuni hapa TAMISEMI walitoa taarifa rasmi kuwa walimu 13,000 wameajiriwa, baada ya watu wenye akili kuhoji, Serikali ilikubali kuwa taarifa ilikuwa ya uwongo. Walimu walioajiriwa walikuwa 8,000 tu...
Wengi tu! Jifunze kusikiliza wenzako ndo utajenga uelewa mpana wa mambo.Hivi Kuna watu bado wanamsikiliza Zitto?
Utaramba viatu hadi unakufa.Huo ndo ukweli,Zito keshajipatia zake saccos kule..inatosha...apige zake blah blah wala hamna jipya...tumemzoea..
Anachotafuta zaidi nn huyo mhu tuIla siku hizi ZZK yuko Serikalini, Kwani hawajadiliani haya huko
Samahani mkuu hili suala la St. Jude school liliishia wapi?Hii ndio ukisikia Punda afe mzigo ufike..St Jude school walionja joto ya jiwe.
kwani Maisha ya mtanzania yanafanana na mmarekani? kulinganisha pesa kunakusaidia nini? marekani wana homeless wengi kuliko TanzaniaUkizingatia ,pesa yetu kwa Sasa haina thamani zisi ya $.
Tutaiaminije taarifa iliyotolewa na mpwa wa Magufuli!?Taarifa imetolewa na Katibu mkuu wa Hazina, unashindwaje kuiamini?