Magufui kiboko hakuna hoja ya kiiasa kwa sasa, siasa zimehami twitter kuchambua makusanyo watasema nini sasa kama kila kitu kinaenda?Zitto Kabwe ameandika hivi kwenye ukurasa wake wa Twitter
“Taarifa ya makusanyo ya kodi iliyotolewa na TRA leo kuwa Desemba wamekusanya shs 2T naamini ni ya kubumba.
Nachambua Taarifa za Benki Kuu za mapato kulinganisha na Taarifa ya TRA.
Nitaonyesha kwa ushahidi kuwa TRA wamedanganya Umma.”
View attachment 1664938
Soma >> TRA yavunja rekodi ya makusanyo ya mwezi Desemba