Zitto: Tuliweka mtego tukamrekodi afisa wa TFS Kasulu akipokea rushwa

Zitto: Tuliweka mtego tukamrekodi afisa wa TFS Kasulu akipokea rushwa

Joshua nasari alimrekodi Alexander mnyeti video ya siri akinunua wanasiasa akapandishwa cheo
 
Tanesco imeharibiwa na jamaa zake kina Makamba alikuwa kimya, leo anamuwekea mtego dagaa wa TFS

Ukweli hii nchi imejaa wangese sana, yupo huko kigoma anajiandaa kutafuta jimbo 2025 agombee

Zitto ni fala sana
Tapeli la kisiasa.
 
Sawa mboye mnasema kala mlungula Kwa lowasa Ila yeye tumeona hiyo hela imefanya nn Kwa mwenyekiti wetu mfano kule machame tumeona bangalow alilojenga na hivi karibuni tunahamisha ofisi kutoka ufipa kwenda ofisi kuu ya chama huko machame je zitto kakifanyia nni chama cha chadema baada ya kukiuza zaidi ya kuanzisha sakosi yake zanziba
 
Kama hajaweka hiyo rekodi, naamini hizo zitakua porojo tu .
 
Back
Top Bottom