Watanzania Milioni 31 ndio wenye uwezo wa kufanya kazi (nguvu kazi), kati ya hao 61.5% wanajishughulisha na Kilimo (ikiwemo uvuvi, ufugaji na misitu), 14.5% wanajishughulisha na Biashara, 3.7% wameajiriwa kwenye Viwanda na 1.4% kwenye uchimbaji wa madini. Uchumi wetu ni Duni sana