MIMI BABA YENU
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 305
- 728
View to a kill.Hajui maumivu aliyoyapata yeye ndio wanayoyapata hao wafuasi na ndugu wa Magufuli, mkuki kwa nguruwe..
Naona maneno aliyotoa hayakuwa na heshima, na hayapaswi kutolewa na kiongozi wa hadhi yake, alikuwa na mihemko.
Mama yake zitto hakuwa fisadi, mwiz8, mporaji na muuaji.Ifike wakati wanasiasa wenye hulka kama za Zitto Kabwe kumpa heshima Hayati Magufuli kama anavyompa heshima marehemu mama yake mzazi ambaye pia ametangulia mbele za haki.
Zitto ulilia Bungeni baada ya Marehemu Mama yako kutajwa katika tujuma zako, Iweje umdhihaki Hayati Magufuli? kwa kusema hadharani kuwa wale wanaompenda sana Magufuli waende Chato wakachimbe kaburi pembeni ya kaburi la Magufuli kisha wajizike
Zitto, JE? nawe kukikwambia kuwa kama unapenda mama yako uende ukachimbe kaburi pembeni ya kaburi la Mama yako kisha ujizike utajisikiaje.
View attachment 2193743
Unajuaje labda alikuwa mwanga umeenda mtaani kwake kupata taarifa zake?Mama yake zitto hakuwa fisadi, mwiz8, mporaji na muuaji.
Humu ndan8 kuna watu mna vitukoUnajuaje labda alikuwa mwanga umeenda mtaani kwake kupata taarifa zake?
Ila mama yako ni mwizi,fisadi na muuaji?Mama yake zitto hakuwa fisadi, mwiz8, mporaji na muuaji.
Neno la Mungu linasema: RUSHWA hupofusha UFAHAMU, yoote unayomkumbusha hayakumbuki tena. Zzzztow Mpuuzi APUUZWE😠.Ifike wakati wanasiasa wenye hulka kama za Zitto Kabwe kumpa heshima Hayati Magufuli kama anavyompa heshima marehemu mama yake mzazi ambaye pia ametangulia mbele za haki.
Zitto ulilia Bungeni baada ya Marehemu Mama yako kutajwa katika tujuma zako, Iweje umdhihaki Hayati Magufuli? kwa kusema hadharani kuwa wale wanaompenda sana Magufuli waende Chato wakachimbe kaburi pembeni ya kaburi la Magufuli kisha wajizike
Zitto, Je, nawe kukikwambia kuwa kama unapenda mama yako uende ukachimbe kaburi pembeni ya kaburi la Mama yako kisha ujizike utajisikiaje.
View attachment 2193743
AiseeIfike wakati wanasiasa wenye hulka kama za Zitto Kabwe kumpa heshima Hayati Magufuli kama anavyompa heshima marehemu mama yake mzazi ambaye pia ametangulia mbele za haki.
Zitto ulilia Bungeni baada ya Marehemu Mama yako kutajwa katika tujuma zako, Iweje umdhihaki Hayati Magufuli? kwa kusema hadharani kuwa wale wanaompenda sana Magufuli waende Chato wakachimbe kaburi pembeni ya kaburi la Magufuli kisha wajizike
Zitto, Je, nawe kukikwambia kuwa kama unapenda mama yako uende ukachimbe kaburi pembeni ya kaburi la Mama yako kisha ujizike utajisikiaje.
View attachment 2193743
Nakazia.Zito ni mpumbavu sana
Atajiskia vizuri.Ifike wakati wanasiasa wenye hulka kama za Zitto Kabwe kumpa heshima Hayati Magufuli kama anavyompa heshima marehemu mama yake mzazi ambaye pia ametangulia mbele za haki.