Zitto ulitaka iundwe tume ya kuchunguza matendo ya kuumiza watu kipindi cha Magufuli. Uko tayari Iundwe ya kuchunguza mambo hayo wakati wa Samia??

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
Siyo siri, Inaonekana Samia ameshauriwa au amejishauri kuwa na yeye ageze mambo ya Magufuli ili kutishatisha watu. Inavyoonekana hali ya kisiasa na kiuchumi nchini imewasukuma kuamini kuwa Watanzania wanahitaji kutishwa ili Ule moyo wa ujasiri wa kwenda next level katika kuchallenge matendo ya watawala urudi nyuma. Ishu ya SATIVA iwafumbue macho watu kuhusu jambo hili!

Inaelekea Washauri wa Samia au Samia mwenyewe amejiaminisha kuwa asipokuwa bandidu na kuwatia watanzania uoga basi ipo siku watavuka ule msitari na kukinukisha kweli!.

Alijaribu kuwatia ndani akina Mbowe Kelele zikawa nyingi, akaona hawa ni maji mazito bora yaishe!
Akajaribu kuwafungulia kesi ya Uhaini akina Dr Slaa, akaonekana kituko, wakawaachia!

Sasa inaelekea mbinu waliyokuja nayo ni kukamata wakosaoaji na wanaharakati wasio na majina makubwa kwa mtindo wa "Wasiojulikana" ili kutuma message kuwa "WASIOJULIKANA WAPO" na watadili na hawa wadogowadogo wasio na majina!

Lengo ni kutia watu uoga, hofu ili waendelee kuwa makondoo!

Leo tumeshuhudia kijana Sativa katekwa, kateswa na kaachwa hai, ILI KUTUMA MESEJI KWA WATU ILI WAOGOPE!.

Sasa ndugu Zitto alikuwa anasema iundwe tume kuchunguza matendo ya uvunjifu wa haki za raia kipindi cha Magufuli. Je yuko tayari tume hiyo ichunguze uvunjifu wa haki za raia za serikali ya rafiki yake Samia? au Kikwete?

Tunaona, Wananchi hawaridhishwi na
1. Safari zisizo na kichwa wala miguu za Samia
2. Hawaridhishwi na uuzaji na ugawaji wa rasilimali kuu za nchi kwa wageni kama njugu
3. Hawaridhishwi na ukopaji utadhani hakuna kesho
4. Wananchi hawaridhishwi na Ufisadi uliokithiri nchini
5. Wananchi hawaridhishwi na Migao ya maji isiyoisha kila mwaka
6. Wananchi hawaridhishwi na kufukuza wananchi ktk ardhi zao za asili mfano huko Ngorongoro na maeneo yanayozunguuka uwanja wa KIA, Mbarali na kwingineko
7. Wananchi hawaridhishwi na gharama za maisha kupanda kwa kasi

Haya mambo lazima wananchi watayasema, watayazungumza. Dawa siyo Kuteka watu, kutesa watu, kutia watu vilema au kuwau. Wananchi wanataka uongozi wenye kutatua matatizo hayo kwa uwazi, weledi na kuwa na nidhamu katika matumizi ya pesa za watu.

Ndugu Zitto bado unaitaka tume ya kuchunguza Wasiojulikana?. Kama unaitaka Tuanze kuchunguza hawa walio hai tawala za Samia na Kikwete kisha ndo tuje tawala za waliotangulia mbele ya haki, yaani Mkapa, Mwinyi na Mwalimu. Unaonaje?
 
Nyie simlikuwa mnasema Rais Samia ni dhaifu magufuli alikuwa chuma,na mara sijui samia aendeshe nchi kama Magu,sasa tulieni mnyolewe bila maji kima nyie
 
Safi sana serikali, hawa watukana viongozi dawa yao watiwe adabu,walikuwa wanamdharau madam prezidaa
 
Sambamba na hayo yote hii nchi inahitaji chombo/mamlaka ambayo itasimamia utendaji kazi wa Jeshi la polisi. Bila hivyo hayo yote hayawezi kukoma wala kuisha.
 
Siyo siri, Inaonekana Samia ameshauriwa au amejishauri kuwa na yeye ageze mambo ya Magufuli ili kutishatisha watu. Inavyoonekana hali ya kisiasa na kiuchumi nchini imewasukuma kuamini kuwa Watanzania wanahitaji kutishwa ili Ule moyo wa ujasiri wa kwenda next level katika kuchallenge matendo ya watawala urudi nyuma. Ishu ya SATIVA iwafumbue macho watu kuhusu jambo hili!

Inaelekea Washauri wa Samia au Samia mwenyewe amejiaminisha kuwa asipokuwa bandidu na kuwatia watanzania uoga basi ipo siku watavuka ue msitari na kukinukisha kweli!.

Alijaribu kuwatia ndani akina Mbowe Kelele zikawa nyingi, akaona hawa ni maji mazito bora yaishe!
Akajaribu kuwafungulia kesi ya Uhaini akina Dr Slaa, akaonekana kituko, wakawaachia!

Sasa inaelekea mbinu waliyokuja nayo ni kukamata wakosaoaji na wanaharakati wasio na majina makubwa kwa mtindo wa "Wasiojulikana" ili kutuma message kuwa "WASIOJULIKANA WAPO" na watadili na hawa wadogowadogo wasio na majina!

Lengo ni kutia watu uoga, hofu ili waendelee kuwa makondoo!

Leo tumeshuhudia kijana Sativa katekwa, kateswa na kaachwa hai, ILI KUTUMA MESEJI KWA WATU ILI WAOGOPE!.

Sasa ndugu Zitto alikuwa anasema iundwe tume kuchunguza matendo ya uvunjifu wa haki za raia kipindi cha Magufuli. Je yuko tayari tume hiyo ichunguze uvunjifu wa haki za raia za serikali ya rafiki yake Samia? au Kikwete?

Tunaona, Wananchi hawaridhishwi na
1. Safari zisizo na kichwa wala miguu za Samia
2. Hawaridhishwi na uuzaji na ugawaji wa rasilimali kuu za nchi kwa wageni kama njugu
3. Hawaridhishwi na ukopaji utadhani hakuna kesho
4. Wananchi hawaridhishwi na Ufisadi uliokithiri nchini
5. Wananchi hawaridhishwi na Migao ya maji isiyoisha kila mwaka
6. Wananchi hawaridhishwi na kufukuza wananchi ktk ardhi zao za asili mfano huko Ngorongoro na maeneo yanayozunguuka uwanja wa KIA, Mbarali na kwingineko
7. Wananchi hawaridhishwi na gharama za maisha kupanda kwa kasi

Haya mambo lazima wananchi watayasema, watayazungumza. Dawa siyo Kuteka watu, kutesa watu, kutia watu vilema au kuwau. Wananchi wanataka uongozi wenye kutatua matatizo hayo kwa uwazi, weledi na kuwa na nidhamu katika matumizi ya pesa za watu.

Ndugu Zitto bado unaitaka tume ya kuchunguza Wasiojulikana?. Kama unaitaka Tuanze kuchunguza hawa walio hai tawala za Samia na Kikwete kisha ndo tuje tawala za waliotangulia mbele ya haki, yaani Mkapa, Mwinyi na Mwalimu. Unaonaje?

Zito alikua zamani .
Siku hizi ni nyepesi.
 
Hii ngoma wameanzisha wataicheza wenyewe ,tunza hii
 
Nakuaminia🙏🏾🙏🏾
Hii ishu ya SATIVA itamchafua Samia kuliko maelezo. Yaani itaondoa ile posture nzima ya kujifanya ni mwema, mpole, mpenda maridhiano, mpenda demokrasia!.

Rais mwanaume kuwa na utawala katili ni jambo moja, lakini raisi mwanamke kujaribu "kugeza" utawala wa kikatili ni jambo jingine!.

Poor Samia, kaingizwa mkenge kushauriwa kuufanya utawala wake ni wa kibandidu, hii inamuondolea soft power aliyokuwa nayo
 
Siyo siri, Inaonekana Samia ameshauriwa au amejishauri kuwa na yeye ageze mambo ya Magufuli ili kutishatisha watu. Inavyoonekana hali ya kisiasa na kiuchumi nchini imewasukuma kuamini kuwa Watanzania wanahitaji kutishwa ili Ule moyo wa ujasiri wa kwenda next level katika kuchallenge matendo ya watawala urudi nyuma. Ishu ya SATIVA iwafumbue macho watu kuhusu jambo hili!

Inaelekea Washauri wa Samia au Samia mwenyewe amejiaminisha kuwa asipokuwa bandidu na kuwatia watanzania uoga basi ipo siku watavuka ule msitari na kukinukisha kweli!.

Alijaribu kuwatia ndani akina Mbowe Kelele zikawa nyingi, akaona hawa ni maji mazito bora yaishe!
Akajaribu kuwafungulia kesi ya Uhaini akina Dr Slaa, akaonekana kituko, wakawaachia!

Sasa inaelekea mbinu waliyokuja nayo ni kukamata wakosaoaji na wanaharakati wasio na majina makubwa kwa mtindo wa "Wasiojulikana" ili kutuma message kuwa "WASIOJULIKANA WAPO" na watadili na hawa wadogowadogo wasio na majina!

Lengo ni kutia watu uoga, hofu ili waendelee kuwa makondoo!

Leo tumeshuhudia kijana Sativa katekwa, kateswa na kaachwa hai, ILI KUTUMA MESEJI KWA WATU ILI WAOGOPE!.

Sasa ndugu Zitto alikuwa anasema iundwe tume kuchunguza matendo ya uvunjifu wa haki za raia kipindi cha Magufuli. Je yuko tayari tume hiyo ichunguze uvunjifu wa haki za raia za serikali ya rafiki yake Samia? au Kikwete?

Tunaona, Wananchi hawaridhishwi na
1. Safari zisizo na kichwa wala miguu za Samia
2. Hawaridhishwi na uuzaji na ugawaji wa rasilimali kuu za nchi kwa wageni kama njugu
3. Hawaridhishwi na ukopaji utadhani hakuna kesho
4. Wananchi hawaridhishwi na Ufisadi uliokithiri nchini
5. Wananchi hawaridhishwi na Migao ya maji isiyoisha kila mwaka
6. Wananchi hawaridhishwi na kufukuza wananchi ktk ardhi zao za asili mfano huko Ngorongoro na maeneo yanayozunguuka uwanja wa KIA, Mbarali na kwingineko
7. Wananchi hawaridhishwi na gharama za maisha kupanda kwa kasi

Haya mambo lazima wananchi watayasema, watayazungumza. Dawa siyo Kuteka watu, kutesa watu, kutia watu vilema au kuwau. Wananchi wanataka uongozi wenye kutatua matatizo hayo kwa uwazi, weledi na kuwa na nidhamu katika matumizi ya pesa za watu.

Ndugu Zitto bado unaitaka tume ya kuchunguza Wasiojulikana?. Kama unaitaka Tuanze kuchunguza hawa walio hai tawala za Samia na Kikwete kisha ndo tuje tawala za waliotangulia mbele ya haki, yaani Mkapa, Mwinyi na Mwalimu. Unaonaje?
Zito nakushukuru kwa mchango wa ndugu yetu , kesho utanikuta mtaa wa tanesko Dom nakusubili nipo na maomgezi na wewe kama upo mbali nijibu
 
Hapana siko tayari!!
 
Back
Top Bottom