Somoche
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 6,795
- 9,143
ZITTO kabwe umegeuka kuwa nyoka mbaya sana wewe ni mchumia tumbo hovyo kabisa...unataka kusema bunge hili la ndiooooo mtu gani atasoma Mkataba pale???? KISHIMBA ATASOMA Clause za mkataba?? Msukuma atasoma Mkataba?? Kembaki atasoma Mkataba??? Jamaa mnafiki sana wewe..Nyoka kabisa mnataka kuuza ncji yetu nyie msituone sisi makenge yasiyo na akili..Yaanj miaka 60 baada ya uhuru jatuwexi kushusha mzigo bandarini mteja akachukua akaondoka??? Sisi tuna ujinga kiasi gani huo??? Muuze bandari kesho DP world akiingiza silaha hapo zikapindua nchi mnafanyaje acheni ujinga nyie watu...msitudharau..wewe njaa zako mmekula marushwa mnaongea kama vile sisi wote hamnazo.