Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana alikuwa anatoa barafu kupunguza makali, ila wale viongozi waliozani mwendazake ataishi milele sijui waliwaza nini... unajua umekalia moto na ukaendelea kuukalia sijui tukueleweje!
Kiukweli hili tatizo halihitaji waziri mwenye ndimi mbili, waziri huyuhuyu aliwadanganya watu na sasa anakuja vingine, back Ummy Mwalimu, aliitumikia nafasi yake vilivyo
👍Kabisa, huyo waziri alikuwa muongo huko nyuma, na sasa anaongea uongo ule ule kwa approach tofauti.
Naunga mkono hojaAnaandika Mh Zitto Kabwe:
69% ya wagonjwa wote wakisaidiwa kwa mashine?
1) Hizi takwimu sio za kweli kwa maana wagonjwa ni wengi zaidi ya hao.
2) Waziri kaamua kusema Hata kwenye idadi ya wanaosaidiwa kupumua.
3) Huyu Waziri haaminiki kwa sababu aliongoza Kampeni ya Watu kunywa Sumu. AFUKUZWE KAZI
Katika kila wagonjwa wa UVIKO-19 nchini, 7 wanatumia mitungi ya Gesi! Hii ni rekodi ya Dunia. Haiwezekani, wagonjwa ni wengi zaidi. Kama wenye kutumia msaada wa Gesi ni hao basi wagonjwa ni mara 600 ya hao wanaotajwa.
Tuendelee kujilinda
huyo mama kama ana undugu na yule gwajima wa kawe basi hamna mtu humo.Awali alikuwa kakalia moto lakini hata leo ana takwimu za kizushi.
Sio kazi ya Zitto kutoa takwimu. Ila zinapotolewa takwimu na mamlaka husika na kwa uelewa wake akaona zina kasoro (fake), ana haki na wajibu wa kutujulisha. Zitto ni kiongozi anayeheshimika ktk jamii, na kama unaona amekengeuka, au unaona waziri yuko sahihi tupe ushahidi utakuwa umesaidia.Zito alete takwimu zake, alizofanya utafiti sio kupiga makelele. Yeye na waziri wa afya nani mwenye haki yakutoa takwimu za uviko-19

Wataalam wa kupiga nyungu?Njaaaa taabu sana...Zitto mnashida gani ninyi wanasiasa kma wewe? Acheni wataalamu wafanye kazi. Zitto stop stop! Hapo ulipo hujui chochote kuhusu hata habari za traditional medicine......
Anaandika Mh Zitto Kabwe:
69% ya wagonjwa wote wakisaidiwa kwa mashine?
1) Hizi takwimu sio za kweli kwa maana wagonjwa ni wengi zaidi ya hao.
2) Waziri kaamua kusema Hata kwenye idadi ya wanaosaidiwa kupumua.
3) Huyu Waziri haaminiki kwa sababu aliongoza Kampeni ya Watu kunywa Sumu. AFUKUZWE KAZI
Katika kila wagonjwa wa UVIKO-19 nchini, 7 wanatumia mitungi ya Gesi! Hii ni rekodi ya Dunia. Haiwezekani, wagonjwa ni wengi zaidi. Kama wenye kutumia msaada wa Gesi ni hao basi wagonjwa ni mara 600 ya hao wanaotajwa.
Tuendelee kujilinda
Sawa tukishataja idadi kamili what next?
Kumbe mtu unaweza kunywa sumu na usife aiseee