Tuko pamoja mkuu, Zitto hasuburi kubebwa na chama mwenyewe anajiweza na anakibeba chama,ni wanasiasa wachache sana wenye kufanya jitihada binafsi kwa manufaa ya chama. HUYU NDIE RAISI WETU KUPITIA CHADEMA 2015.Kijana anaweza.Zitto ni mwanamageuzi wa kweli binafsi nilitamani awe M/kti wa chadema...chama kingefika mbali sana...jamaa anataona mbali, big up Zitto!
wale wanataka kujua zitto yuko wapi na anafanya nini tembelea hii link zitto na demokrasia
ndio mtajua jinsi gani chadema wamejipanga vizuri. Silaa hawezi kufika kila kijiji lakini wagombea ubunge wanaweza.
[FONT="Arial Narrow"[I][COLOR="blue"]]Zitto ni mwanamageuzi wa kweli binafsi nilitamani awe M/kti wa chadema...chama kingefika mbali sana...jamaa anataona mbali, big up Zitto![/COLOR][/I][/FONT]
mapinduzi yatasonga na kupambana kutasonga mbele
Acheni Hizo.Haya maneno maneno hayana maana ni ya kupuuza......,wapuuzeni wanaosema zitto kajitenga.Zitto yuko fit na juzi alikuwa ubungo kumnadi mnyika,mtasemaje kajitenga????????Aliyeleta hii thread ana lake jambo na wanamapinduzi CHADEMA.mapinduzi yatasonga na kupambana kutasonga mbele