Elections 2010 Zitto yuko wapi?

Elections 2010 Zitto yuko wapi?

mozze

Senior Member
Joined
Aug 27, 2010
Posts
185
Reaction score
28
Wale wanataka kujua Zitto yuko wapi na anafanya nini tembelea hii link Zitto na Demokrasia
Ndio Mtajua jinsi gani Chadema wamejipanga vizuri. Silaa hawezi kufika kila kijiji lakini wagombea ubunge wanaweza.
 
Zitto ni mwanamageuzi wa kweli binafsi nilitamani awe M/kti wa chadema...chama kingefika mbali sana...jamaa anataona mbali, big up Zitto!
 
Zitto ni mwanamageuzi wa kweli binafsi nilitamani awe M/kti wa chadema...chama kingefika mbali sana...jamaa anataona mbali, big up Zitto!
Tuko pamoja mkuu, Zitto hasuburi kubebwa na chama mwenyewe anajiweza na anakibeba chama,ni wanasiasa wachache sana wenye kufanya jitihada binafsi kwa manufaa ya chama. HUYU NDIE RAISI WETU KUPITIA CHADEMA 2015.Kijana anaweza.
 
kanyaga twende, zitto wao majungu sisi kazi
 
Yupo burundi anakula bata kidogo, atarejea kwenye kampeni soon.
 
wale wanataka kujua zitto yuko wapi na anafanya nini tembelea hii link zitto na demokrasia
ndio mtajua jinsi gani chadema wamejipanga vizuri. Silaa hawezi kufika kila kijiji lakini wagombea ubunge wanaweza.

jamani zitto na wengine tumewakabidhi kazi maalum majimboni. Because at the end ni majimbo what matters. Ndio maana nafasi zao mbali mbali zimezibwa vizuri tuu, hata hapa kwenye bodi ya jjf mnaona akina tandale one, yaya na wala makombo ya ufisadi wengine hawafurukuti kabisa kutokana na kushikwa vilivyo.

Mwache kijana apambane tunalitegemea sana jimbo hilo
.
 
namfagilia sana Zitto.Kijana anatisha.Songa mbeleeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
[FONT="Arial Narrow"[I][COLOR="blue"]]Zitto ni mwanamageuzi wa kweli binafsi nilitamani awe M/kti wa chadema...chama kingefika mbali sana...jamaa anataona mbali, big up Zitto![/COLOR][/I][/FONT]

Mkuu Junius,
Zitto hajachelewa,bado ni kijana na nafasi bado ipo. Nina imani kampeni za 2015, yeye ndo atakuwa mwekiti wa chama chetu
 
zitto-na-jk.jpg
 
Hawezi kuathiri kitu chochote. Unajua mtu ukiwa mwanamapinduzi uanatakiwa ubaki hivyo milele. Kwa ujumla jamaa anazidi kupteza sifa kwa kudhani yeye ni CHADEMA kumbe CHADEMA ni wanachama. Kaondoka Chacha Wangwe na CHADEMA ipo pale pale. Kususa kwake ni kupoteza muda. Slaa na waliobaki watapambana mpaka kieleweke
 

JEYKEYWAUKWELI
Senior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date: Fri Sep 2010
Posts: 78
Thanks: 5
Rep Power: 21
Thanked 8 Times in 4 Posts

Mkuu umetumwa au??? JF imevuna wateja wengi mwezi wa september duuuhh!!!
 
mapinduzi yatasonga na kupambana kutasonga mbele
Acheni Hizo.Haya maneno maneno hayana maana ni ya kupuuza......,wapuuzeni wanaosema zitto kajitenga.Zitto yuko fit na juzi alikuwa ubungo kumnadi mnyika,mtasemaje kajitenga????????Aliyeleta hii thread ana lake jambo na wanamapinduzi CHADEMA.
 

Senior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date: Fri Sep 2010Posts: 78Thanks: 5Rep Power: 21Thanked 8 Times in 4 PostsMkuu umetumwa au??? JF imevuna wateja wengi mwezi wa september duuuhh!!!

Kwanini wewe umejiunga lini?

Wewe huoni Zitto anajitenga na slaaa??
 

JEYKEYWAUKWELI
Senior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date: Fri Sep 2010
Posts: 78
Thanks: 5
Rep Power: 21
Thanked 8 Times in 4 Posts

Mkuu umetumwa au??? JF imevuna wateja wengi mwezi wa september duuuhh!!!

Laiti kungekuwa na entrace fees.....duh....au uchakavu!!!!!:becky:
 
Back
Top Bottom