Incredible
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,031
- 1,603
Mkuu kwanini aseme yeye wakati nae ana chama chake na lazima angalie maslahi ya chama chake sio kuunga mkono tu, hapa kila mtu anapambania maslahi yake ila atakae poteza zaidi ni kwa mtazamo wangu ni CHADEMA na Watanzania, Wakisimama wagimbea watatu Lissu, Magufuli na Membe wala CCM hawana haja ya figusu watashinda maana wapinzani watagawana kura vivyo hivyo kwenye majimbo na udiwani mwisho wa siku ACT ina strong base yake visiwani haiyumbi hiyo na siasa za kule zinatambulika ila huku bara upinzani utapotza vibaya, Uchaguzi ni zaidi ya kujaza watu nnachoona kuna watu wanajiona wana hati miliki ya upinzani na hawaanglii maslahi ya taifa bali ya vyma vyao na kwahivyo hakuna namna CCM inaweza kutikiswa.Zitto kwanini unashindwa kutamka hadharani kwamba wewe na ACT Wazalendo mnaunga mkono Lissu awe mgombea urais wa upinzani?
Kauli zako zimekaa kimitego mitego sana badala ya kuwa mstari wa mbele kuonyesha ushirikiano wa kweli.
Mkuu kwanini aseme yeye wakati nae ana chama chake na lazima angalie maslahi ya chama chake sio kuunga mkono tu, hapa kila mtu anapambania maslahi yake ila atakae poteza zaidi ni kwa mtazamo wangu ni CHADEMA na Watanzania, Wakisimama wagimbea watatu Lissu, Magufuli na Membe wala CCM hawana haja ya figusu watashinda maana wapinzani watagawana kura vivyo hivyo kwenye majimbo na udiwani mwisho wa siku ACT ina strong base yake visiwani haiyumbi hiyo na siasa za kule zinatambulika ila huku bara upinzani utapotza vibaya, Uchaguzi ni zaidi ya kujaza watu nnachoona kuna watu wanajiona wana hati miliki ya upinzani na hawaanglii maslahi ya taifa bali ya vyma vyao na kwahivyo hakuna namna CCM inaweza kutikiswa
Anatumika tuu huyo na chama si chake mweye chama ni MembeNi wazo zuri ila tatizo Zitto hajawahi kuaminika, Chadema wenyewe ni mashahidi.
Unadhanu ni kwanini viongozi wake wa juu walipata nafasi serikalini baada ya uchaguzi, ifikirishe akili yakoHapo namtetea Zitto, yeye ndiye aliyekataliwa na Chadema kwa sababu ya usaliti siyo kwamba yeye ndiye aliyewakataa.
Huyu ndiye mzalendo wa kweli maana ana hofu ya mungu na anafuata taratibu na kanuni za uchaguzi unapotafuta wadhamini. Siyo yule mpayukaji anaofanya watu waache shughuli zao waende kumshangaa
Mkuu, sera za ccm nikuendeleza yale mambo yote yalianzishwa na watangulizi sasa yeye ameunganisha wote kuanzi awamu ya kwanza hadi ya nne. Hapa ni kazi tuu, na kazi inaendelea
Zitto ameanza kazi rasmi. Wapinzani mpaka wavurugane aisee
Well saidKiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe, ametoa wito kwa vyama vya upinzani nchini kuwa viache ubinafsi kwa kuwa Tanzania ni kubwa kuliko vyama na kwamba Watanzania hawatowasamehe kama hawatoamua kuwa na mgombea mmoja wa Urais, Ubunge na Udiwani.
Kauli hiyo ameitoa hii leo Agosti 18, 2020, Jijini Dar es Salaam na kusema kuwa mpaka sasa viongozi wanaendelea na mazungumzo kwa ajili ya vyama hivyo kushirikiana katika Uchaguzi Mkuu ujao na anaamini kuwa Watanzania wengi wanataka mashirikiano.
Watanzania hawatatusamehe tusipokuwa na mgombea mmoja wa Urais, mgombea mmoja kila Jimbo,na kila Kata, wito wangu kwa viongozi wenzangu wa vyama vya upinzani tuache ubinafsi, Watanzania wanataka ushirikiano ili kuleta mabadiliko katika nchi, na joto la uchaguzi mmeliona watu wamechangamka Bara na Visiwani" amesema Zitto Kabwe.
Zitto ameongeza kuwa yeye na chama chake wako tayari kushirikiana na vyama vingine vya upinzani ili kuweza kuitoa CCM madarakani.
Chanzo: EATV
Nini maoni yako?
Haaminiki?Many colors of humans
Kwa hesabu zipi mkuu?Wazo zuri Ila wameshachelewa... Hali ilivyo CCM inakuwa mshindi wa 3...
Hivi jasusi na yeye anakusanya wadhamini?Wazo zuri sema limekaa kimtego sana ,kwasasa lissu anasepa na vijiji sana Jasusi atakubali kumwaga manyanga?
Kwamba anaweza unga mkono juhudi?. Kwa nionanvyo mimi ni kwamba ACT watachukua Zanzibar na huku bara CHADEMA watapeperusha bendera yao.Huyu bwana Zitto haaminiki
Wadhamini hawahjtaji mapokezi mkuu. Huoni JPM anawakusanya kimya kimya.Sasa mbona kaishachelewa? wenzake wanachanja mbuga yeye ndiyo anaamka kashikilia mswaki? pole zake. Membe yuko Mkoa gani kwa sasa?
Mkuu mbona upo too harsh!Huyu ndiye mzalendo wa kweli maana ana hofu ya mungu na anafuata taratibu na kanuni za uchaguzi unapotafuta wadhamini. Siyo yule mpayukaji anaofanya watu waache shughuli zao waende kumshangaa
Membe alisema kuna vigogo 6 anakuja nao. Alidanganya? Au tumsubiri?Baada ya kumuona BM hauziki Zitto anawaza ruzuku