Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasubiri hiyo October, nione ninyi wabinafsi mtakavyoshindwa uchaguzi. Yaani Lissu anataka ushirikiano kutoka moyoni na anajua ndiyo njia pekee ya kupata ushindi lakini wapambe wa Chadema ni wabinafsi kupita maelezo??!!Baada ya kumuona BM hauziki Zitto anawaza ruzuku
Acheni upuuzi. Eti CDM atampa support Maalim Zanzibar kwa ushawishi upi walionao CDM Zanzibar. Chama hakina hata mbunge mmoja wala shekha. Yaani Chadema kuanzia viongozi hadi wanachama ni matapeli.Pendekezo la watanzania wengi ni kuona Membe akimpa support Lissu!! pia CDM nao kwa umoja wao wakimpa Support Maalim kule Zanzibar.
Sera ya watu wazima kulawitiana ni ya mgombea wa sasa wa Chadema,..Lowassa alipokelewa ikulu.
..Babu Seya na Papii walipokelewa ikulu.
..Je, hujamuona Papii anatumbuiza ktk matamasha ya ccm?
..sera ya kulawiti watoto ni sera ya ccm.
Mbowe is very selfish.
But, too bad he's on a losing side.
Zitto hata akipata wabunge 5 ni hatua kubwa sana.
Tz tunatakiwa tubakie na vyama vifuatavyo; NCCR, ACT, CCM, na CDM.
Na itapendeza vyama hivyo vikiwa na nguvu zinazokaribiana.
Tukibakiwa na vyama viwili, siasa zetu zitakuwa kama za Zanzibar ambapo kuna mkwamo.
Nchi hii ni kubwa na ina watu wengi, hivyo inaweza ku-accomodate vyama zaidi ya viwili au vitatu vya siasa.
Ni mtizamo wako mkuu siwezi kukupinga maana mpaka mwanakijiji anakubali kwenda kwa lissu hauwezi jua atafanya kitu gani kwenye sanduku kwasababu hajapuuza uwepo wake na ndio maana kuna wengine hawakwenda./hakusepa nao.Vijiji havitampigia kura. Asalimu amri tu kwa Dokta Magufuli kamanda wa kudhoofisha upinzani nchini
Walienda kumshanga mtanziaaa pekee mwenye ujasiri wa kumkosoa Magufuli hadharani.Ni mtizamo wako mkuu siwezi kukupinga maana mpaka mwanakijiji anakubali kwenda kwa lissu hauwezi jua atafanya kitu gani kwenye sanduku kwasababu hajapuuza uwepo wake na ndio maana kuna wengine hawakwenda./hakusepa nao.
Ni mtizamo wako pia mkuu.Walienda kumshanga mtanziaaa pekee mwenye ujasiri wa kumkosoa magufuli hadharani.
Naongezea tu, kwa nin zzt ameleta mgombea si angesema sisi tunasimama na chama flani kama ilivyofanya TLP ya MremaTangu lini jamaa analipenda Taifa hili.
Alisema tuna Korona.
Akawa anapiga kampeni tunyimwe fedha za World Bank.
Huu upendo wa dhati kwetu umekuja kipindi anataka kura sio??
Amesahau 2015Kwenye majimbo kila mtu ale kwa usawa wa kamba yake kwenye Urais wekeni mtu mmoja
2015 watu hawajasahau, na pia wenzako bungeni walivyopinga uchafuzi wa kina Jecha Zanzibar baada ya Shein kuingia bungeni wewe Zitto ukawa upande ule, hivyo usilazimishe mambo kwa kuweka wingi wetu eti 'Watanzania hawata tusamehe"
Aache janja ya nyani hapa
Asingekuwa na bargaining chip...Kwa SASA ata akipiga simu inapokelewa...lakini pia Kwa target yake ni kupata wabunge kutoka maeneo alipotokea recruit wake mpYAZitto kama alikuwa na nia ya dhati basi angemshauri Membe aende CHADEMA!
Zzt alidhani atatumiwa kama 2015Huu ndo ulaghai wa kipimbi kabsa. Inajulikana kabsa mwaka 2020 ni uchaguzi kwa nini wasingelianza mazungumzo mapema hata mwezi wa kwanza. Hata vikao vya pamoja tukajua wana ajenda moja sio sasa hivi wanakuja na mpango wa haraka . Baada ya kuona kipekee hawawezi toboa hata wabungewa majimbo 50. Kuweni na long and short plan sio kwenda kwa pupa tu.
Kumbuka nini Faida ya muungano huo na hasara zake. Maana Lazima vyama vingine vikubali kupoteza Ruzuku lakini sasa kwa makubaliano yapi. Ni mjadala wa siku nyingi sio kuja jukwaani na kuadress wakati hatasikumoja hamjafanya kikao chapamoja kwa agenda ya uchaguzi 2020.
Maalimu pale kaingizwa mkenge, zito ni lipumba type, anafikiri watu ni wasahaulifu, aliwaita wenzake wa ukawa kuwa ni wasaka tonge, ni ngumu kufanya kazi na mtu ambaye ameonyesha dhahili sio wa kuaminika, na hili ndilo linawafanya cdm kuwa wazito, kwanza kitendo cha kumpokea membe na kumfanya kuwa mgombea wao, ni ishara tosha hakuna kitu cha kusimisha mgombea moja, sasa wanajidanganya kwa membe eti ni turufu ya kusini, sasa huyo membe mwenyewe hata kuongea hawezi, ni bora angebaki na u tiss wake.Ye ameshasamehewa? Maana 2015 alishiriki kwenye kuharibu kura za UKAWA.ZZK kuna wakati huwa namuona kama sio mpinzani hata Maalim Seif awe makini na ZZK