Zitto Zuberi Kabwe yuko wapi? Kweli akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki

Zitto Zuberi Kabwe yuko wapi? Kweli akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki

Nimeshangzwa na ukimya wa hali.ya juu wa Mh Zuber Zitto Kabwe mtu aliyesifika kupambani haki za Watanzania kwa ujumla wao.

Walioko karibu na huyu Kiongozi wa ACT wazalendo watujulishe.

Huko aliko yuko salama?

DP world!
Alishavuta mgao wake akasema ardhi haihami kama madini, yaani yeye hataki tena sababu hadai chochote
 
Kwa JK alikuwa anauma na kupuliza. Alikuwa anafanya kazi ya ziada ya kuhujumu CDM akiwa ndani ya chama.

CDM ilikuwa na intelijensia kali sana, walinasa kila kitu, vikao vyake vyote ma mkurugenzi mkuu na usalama wa taifa wa wakati ule, mpaka pesa aliyolipwa ilikopita.
Yule usaliti hajaanza leo
 
Back
Top Bottom