Zitto Zuberi Kabwe yuko wapi? Kweli akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki

Zitto Zuberi Kabwe yuko wapi? Kweli akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki

Kwa JK alikuwa anauma na kupuliza. Alikuwa anafanya kazi ya ziada ya kuhujumu CDM akiwa ndani ya chama.

CDM ilikuwa na intelijensia kali sana, walinasa kila kitu, vikao vyake vyote ma mkurugenzi mkuu na usalama wa taifa wa wakati ule, mpaka pesa aliyolipwa ilikopita.
Duuh aisee jamaa alikuwa hatari sana
 
Nimeshangzwa na ukimya wa hali.ya juu wa Mh Zuber Zitto Kabwe mtu aliyesifika kupambani haki za Watanzania kwa ujumla wao.

Walioko karibu na huyu Kiongozi wa ACT wazalendo watujulishe.

Huko aliko yuko salama?

DP world!
Zitto ni Islamic kindakindaki na asili ya watu wa Zanzibar inasemekana walitoka Kigoma na Tabora anaogopa asije akamkosea Dada yake Samia.
 
Zito ninaemjua mimi anyamazie ishu kama hii haiwezekani huyu yupo mezani hawezi ongea huku anakula
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hiyo takataka
 
Zitto kashachukua chake mapemaaaa , katulia tuliiii ...bara kwa moto na zenji kwa moto [emoji1787][emoji1787][emoji1787] .. akijifanya kubwata itabidi ajiteme na zenji asikanyage...
 
Nimeshangzwa na ukimya wa hali.ya juu wa Mh Zuber Zitto Kabwe mtu aliyesifika kupambani haki za Watanzania kwa ujumla wao.

Walioko karibu na huyu Kiongozi wa ACT wazalendo watujulishe.

Huko aliko yuko salama?

DP world!
Na vipi Josephat gwajima ametoa neno lolote kwenye hili swala?
 
Nimeshangazwa na ukimya wa hali ya juu wa Zuber Zitto Kabwe mtu aliyesifika kupambani haki za Watanzania kwa ujumla wao.

Walioko karibu na huyu Kiongozi wa ACT wazalendo watujulishe.

Huko aliko yuko salama?

DP world!

Yuko kwa Bush Dr
 
Huyo ni muda tu. Hatakuwa Kapuku tu. Wanzabar amempokonya chama chake.
 
Back
Top Bottom