Zitto Zuberi Kabwe yuko wapi? Kweli akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki

Subiri asogomeze bahasha vizuri mfukoni utamsikia kelele zikiwa nyingi
 
Nimeshangzwa na ukimya wa hali.ya juu wa Mh Zuber Zitto Kabwe mtu aliyesifika kupambani haki za Watanzania kwa ujumla wao.

Walioko karibu na huyu Kiongozi wa ACT wazalendo watujulishe.

Huko aliko yuko salama?

DP world!
Alishavuta mgao wake akasema ardhi haihami kama madini, yaani yeye hataki tena sababu hadai chochote
 
Yule usaliti hajaanza leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…