Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
-
- #21
Duuh aisee jamaa alikuwa hatari sanaKwa JK alikuwa anauma na kupuliza. Alikuwa anafanya kazi ya ziada ya kuhujumu CDM akiwa ndani ya chama.
CDM ilikuwa na intelijensia kali sana, walinasa kila kitu, vikao vyake vyote ma mkurugenzi mkuu na usalama wa taifa wa wakati ule, mpaka pesa aliyolipwa ilikopita.
😆😆😆We ukifikiri mbowe hajamwelewa alivyomtimu Ka kibaka? Huyu hafai hata kazi ya jusafisha Choo cha chama.
DP World acha kabisa hiyo kitu, inasababisha hata wazalendo kuwa mabubuNimeshangzwa na ukimya wa hali.ya juu wa Mh Zuber Zitto Kabwe mtu aliyesifika kupambani haki za Watanzania kwa ujumla wao.
Walioko karibu na huyu Kiongozi wa ACT wazalendo watujulishe.
Huko aliko yuko salama?
DP world!
🤣🤣Alishavuta mgao wake akasema ardhi haihami kama madini, yaani yeye hataki tena sababu hadai chochote
Ni noma sanaDP World acha kabisa hiyo kitu, inasababisha hata wazalendo kuwa mabubu
Zitto ni Islamic kindakindaki na asili ya watu wa Zanzibar inasemekana walitoka Kigoma na Tabora anaogopa asije akamkosea Dada yake Samia.Nimeshangzwa na ukimya wa hali.ya juu wa Mh Zuber Zitto Kabwe mtu aliyesifika kupambani haki za Watanzania kwa ujumla wao.
Walioko karibu na huyu Kiongozi wa ACT wazalendo watujulishe.
Huko aliko yuko salama?
DP world!
Zitto hajawahi kosoa JK alikuwa anakosoa wale mawaziri wake basi, Zitto ni Mdini sana yesEeh kumbe JK alikuwa msabato?
Alimkosoa kinafiki.Sidhani....mbona alimkosoa Jk
Na vipi Josephat gwajima ametoa neno lolote kwenye hili swala?Nimeshangzwa na ukimya wa hali.ya juu wa Mh Zuber Zitto Kabwe mtu aliyesifika kupambani haki za Watanzania kwa ujumla wao.
Walioko karibu na huyu Kiongozi wa ACT wazalendo watujulishe.
Huko aliko yuko salama?
DP world!
Na JK alikula Muizrael eehZZK ni mdini haswaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787], hawezi kumkosoa mama.
Ingekuwa ni enzi za JPM basi angeenda mpaka benki ya dunia kutaka mikopo izuiliwe.
Nimeshangazwa na ukimya wa hali ya juu wa Zuber Zitto Kabwe mtu aliyesifika kupambani haki za Watanzania kwa ujumla wao.
Walioko karibu na huyu Kiongozi wa ACT wazalendo watujulishe.
Huko aliko yuko salama?
DP world!
ZZK ni mdini haswaa 🤣🤣🤣, hawezi kumkosoa mama.
Ingekuwa ni enzi za JPM basi angeenda mpaka benki ya dunia kutaka mikopo izuiliwe.
Huyo ni muda tu. Hatakuwa Kapuku tu. Wanzabar amempokonya chama chake.Nimeshangazwa na ukimya wa hali ya juu wa Zuber Zitto Kabwe mtu aliyesifika kupambani haki za Watanzania kwa ujumla wao.
Walioko karibu na huyu Kiongozi wa ACT wazalendo watujulishe.
Huko aliko yuko salama?
DP world!