Lwiva JF-Expert Member Joined Apr 17, 2015 Posts 15,416 Reaction score 22,334 Jul 12, 2023 #41 Bush Dokta said: Nimeshangazwa na ukimya wa hali ya juu wa Zuber Zitto Kabwe mtu aliyesifika kupambani haki za Watanzania kwa ujumla wao. Walioko karibu na huyu Kiongozi wa ACT wazalendo watujulishe. Huko aliko yuko salama? DP world! Click to expand... Zitto ni mtu aliye kufa kibudu kisiasa hivyo kwa sasa anatumia unafiki na ubinafsi kuishi ...hakuna mtu pale[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bush Dokta said: Nimeshangazwa na ukimya wa hali ya juu wa Zuber Zitto Kabwe mtu aliyesifika kupambani haki za Watanzania kwa ujumla wao. Walioko karibu na huyu Kiongozi wa ACT wazalendo watujulishe. Huko aliko yuko salama? DP world! Click to expand... Zitto ni mtu aliye kufa kibudu kisiasa hivyo kwa sasa anatumia unafiki na ubinafsi kuishi ...hakuna mtu pale[emoji1787][emoji1787][emoji1787]