Zitto zuberi kabwe

Laizer Peter

Senior Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
130
Reaction score
24
akinukuliwa jana kupitia EATV
mwanasiasa machachari wa Tanzania
ambae hajapata kutokea mwanasiasa
anaeweka maslai ya taifa mbele
kama yeye alidai kwamba
-Yeye ndo aleanzisha ACT Tangu
yupo CHADEMA
-Pia amedai watu wa majimbo ya
Singida Mash(kwa Tundu Lissu),
Iringa Mjini(kwa Peter Msigwa),
Arusha MJini(kwa Lema), Kawe
(Halima Mdee), Ubungo(John
Mnyika), watu wa majimbo hayo
wamemwomba sana akagombee
ubunge na ameshawishika sana.
HONGERA SANA ZITTO KABWE aka
MPINZANI WA KWELI kwa kukisaidia
sana chama chetu cha CCM
tutakununulia na hammer nyingine
usijali
 
Aje singida mashariki
 
Nilikwambia Laizer Peter acha maigizo....juzi ulinyifanya eti wewe mpinzani huitaki katiba ya chenge.mara ukabadilika unaipigia debe.leo umekuja na huu upuuzi.wewe ni kibaraka wa Lumumba usiyejitambua
 
Last edited by a moderator:
Nilikwambia Laizer Peter acha maigizo....juzi ulinyifanya eti wewe mpinzani huitaki katiba ya chenge.mara ukabadilika unaipigia debe.leo umekuja na huu upuuzi.wewe ni kibaraka wa Lumumba usiyejitambua

Tatizo lako husomi kitu ukaelewa ....cjui akili yako umeikalia cjui!
 
Last edited by a moderator:
...anajua uhai wake unategemea sana siasa za chadema, so lazima ajiattach na majina makubwa ya chadema ili awe hai kwenye siasa bhabhaaaaaaaaaa ...!!! zzk kwishneyyyy...wakongwe kazini wanamcheki tu kama samaki mchangani wanacheeeeeekaaaaa.. bhahaahaaaaaaaa......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…