Laizer Peter
Senior Member
- Feb 19, 2013
- 130
- 24
akinukuliwa jana kupitia EATV
mwanasiasa machachari wa Tanzania
ambae hajapata kutokea mwanasiasa
anaeweka maslai ya taifa mbele
kama yeye alidai kwamba
-Yeye ndo aleanzisha ACT Tangu
yupo CHADEMA
-Pia amedai watu wa majimbo ya
Singida Mash(kwa Tundu Lissu),
Iringa Mjini(kwa Peter Msigwa),
Arusha MJini(kwa Lema), Kawe
(Halima Mdee), Ubungo(John
Mnyika), watu wa majimbo hayo
wamemwomba sana akagombee
ubunge na ameshawishika sana.
HONGERA SANA ZITTO KABWE aka
MPINZANI WA KWELI kwa kukisaidia
sana chama chetu cha CCM
tutakununulia na hammer nyingine
usijali
mwanasiasa machachari wa Tanzania
ambae hajapata kutokea mwanasiasa
anaeweka maslai ya taifa mbele
kama yeye alidai kwamba
-Yeye ndo aleanzisha ACT Tangu
yupo CHADEMA
-Pia amedai watu wa majimbo ya
Singida Mash(kwa Tundu Lissu),
Iringa Mjini(kwa Peter Msigwa),
Arusha MJini(kwa Lema), Kawe
(Halima Mdee), Ubungo(John
Mnyika), watu wa majimbo hayo
wamemwomba sana akagombee
ubunge na ameshawishika sana.
HONGERA SANA ZITTO KABWE aka
MPINZANI WA KWELI kwa kukisaidia
sana chama chetu cha CCM
tutakununulia na hammer nyingine
usijali