Msemaji mkuu wa kisiasi Lawrence Kanyuka, ameutangazia umma kuwa ziwa Kivu kwa sasa halitumiki. Hivyo kuomba jeshi la serikali na SAMIDRC kukabidhi siraha zote kwa wanajeshi wa Umoja wa mataifa, na kukusanyika uwanja wa mpria uliyopo karibu hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haujaeleweka umeongelea kitu gani na ulimaanisha nini jasa fafanua zaidi.Msemaji mkuu wa kisiasi Lawrence Kanyuka, ameutangazia umma kuwa ziwa Kivu kwa sasa halitumiki. Hivyo kuomba jeshi la serikali na SAMIDRC kukabidhi siraha zote kwa wanajeshi wa Umoja wa mataifa, na kukusanyika uwanja wa mpria uliyopo karibu hapo
Jwtz already deployed, wanajeshi awiiiiiiiiii, this time Kagame amejichanganyaMsemaji mkuu wa kisiasi Lawrence Kanyuka, ameutangazia umma kuwa ziwa Kivu kwa sasa halitumiki. Hivyo kuomba jeshi la serikali na SAMIDRC kukabidhi siraha zote kwa wanajeshi wa Umoja wa mataifa, na kukusanyika uwanja wa mpria uliyopo karibu hapo
Jw wanahusika vipi na uzi huu!???Jwtz already deployed, wanajeshi awiiiiiiiiii, this time Kagame amejichanganya
Sina cha kukusaidia, bye na pumbavuJw wanahusika vipi na uzi huu!???
Kalewa huyo 😂😂Haujaeleweka umeongelea kitu gani na ulimaanisha nini jasa fafanua zaidi.
JWTZ hakuna kitu watafanya, waziri mwenyewe wa ulinzi hata binocular hajui kutumia.Jwtz already deployed, wanajeshi awiiiiiiiiii, this time Kagame amejichanganya
Waziri haendi vitaniJWTZ hakuna kitu watafanya, waziri mwenyewe wa ulinzi hata binocular hajui kutumia.
M23 wapo supported na mabeberu kwa silaha na fedha.
Haendi vitani lakini inapaswa awe ana ABCD za masuala ya kiusalama hata basics tu, mtu mwenyewe binocular tu hajui kutumia, huyo atatoa ushauri gani hata kwenye masuala ya kiusalama.. nini maana ya kuchaguliwa kuwa waziri wa ulinzi?Waziri haendi vitani
Mtu hakuwahi kupita hata Mugambo eti ni waziri wa ulinzi, ukimuuliza atakwambia vita ya sikuizi ni sayansi, haya na wewe tumia sayansi tuone.JWTZ hakuna kitu watafanya, waziri mwenyewe wa ulinzi hata binocular hajui kutumia.
M23 wapo supported na mabeberu kwa silaha na fedha.
Ok, waache waende. Kwamba raisi ni mjinga? Kwamba mkuu wa majeshi hajui kinachoendelea? Vita sio mihemuko. Kwa taarifa yako, FARDC na watu wake silaha wameshakabidhi kwa MONUSCO na kuelekea uwanjani walipoamliwa na M23 kuwafuata wenyewe. Upo? Goma ipo mikononi mwa M23. Haya,twambie. Hao JWTZ wanawnda kufanya nini!? Wanapita wapi?Jwtz already deployed, wanajeshi awiiiiiiiiii, this time Kagame amejichanganya
Subiri utaelewa tu. M23 ilipokuwa mjini Goma, ilifunga na njia ya maji baada ya angaHaujaeleweka umeongelea kitu gani na ulimaanisha nini jasa fafanua zaidi.
wanza kwa muundo tu wa wizara ya ulinzi wakuu wa vyombo wanalipoti direct kwa commander in chief au rais waziri ni cheo tu cha kisiasa anaenda kusoma magazeti wizarani au kufanya uzinduzi wa mambo mbalimbali basi hilo tu.Haendi vitani lakini inapaswa awe ana ABCD za masuala ya kiusalama hata basics tu, mtu mwenyewe binocular tu hajui kutumia, huyo atatoa ushauri gani hata kwenye masuala ya kiusalama.. nini maana ya kuchaguliwa kuwa waziri wa ulinzi?
Angalia kama secretary of defense wa US huyo jamaa Pete Hegseth aliyechaguliwa na Trump, jamaa ni veteran na alishafikia cheo cha major, amepigana vita Iraq na Afghanistan, jamaa ana medali za kijeshi mbali mbali.
Hata kocha wa mpira haingii kucheza lakini lazima awe anauelewa mpira vyema.
Nimebaki njiapandaMsemaji mkuu wa kisiasi Lawrence Kanyuka, ameutangazia umma kuwa ziwa Kivu kwa sasa halitumiki. Hivyo kuomba jeshi la serikali na SAMIDRC kukabidhi siraha zote kwa wanajeshi wa Umoja wa mataifa, na kukusanyika uwanja wa mpria uliyopo karibu hapo
Baada ya kufunga anga, jeshi la Congo lilibaki na njia tu ya maji. Kumbuka liliombwa kujisalimosha ndani ya masaa 48. Halikutekeleza. Ndipo M23 ikafunga njia ya maji, na kulivaa jiji. Taarifa zilizokuwepo ni kwamba hata kabla ya hayo masaa, tayari ilikuwa mjini, ndipo Monusco ikaamua tu itoe watu wake.Nimebaki njiapanda
Baada ya kufunga anga, jeshi la Congo lilibaki na njia tu ya maji. Kumbuka liliombwa kujisalimosha ndani ya masaa 48. Halikutekeleza. Ndipo M23 ikafunga njia ya maji, na kulivaa jiji. Taarifa zilizokuwepo ni kwamba hata kabla ya hayo masaa, tayari ilikuwa mjini, ndipo Monusco ikaamua tu itoe watu wake.
Baada ya kuona wamezingilwa bila utani na njia pekee iliyobaki, jeshi la DRC likapelea siraha kwa MONUSCO. Wanajeshi waliambiwa tatizo lipo kati ya M23 na serikali, siyo jeshi. Hivyo, wakiweka siraha chini, wamehakikishiwa usalama wao. Japo wachache wale makomando wa DRC, wamejaribu kuendeleza mapigano, lakini haikuzaa matunda. Movie ikawa ndo imeisha hivyo Kivu kaskazini. Inaelekea vita vinahamia Kivu kusini sasa. Stay tuned.