Haendi vitani lakini inapaswa awe ana ABCD za masuala ya kiusalama hata basics tu, mtu mwenyewe binocular tu hajui kutumia, huyo atatoa ushauri gani hata kwenye masuala ya kiusalama.. nini maana ya kuchaguliwa kuwa waziri wa ulinzi?
Angalia kama secretary of defense wa US huyo jamaa Pete Hegseth aliyechaguliwa na Trump, jamaa ni veteran na alishafikia cheo cha major, amepigana vita Iraq na Afghanistan, jamaa ana medali za kijeshi mbali mbali.
Hata kocha wa mpira haingii kucheza lakini lazima awe anauelewa mpira vyema.