Ziwa Kivu kusitisha huduma

Ziwa Kivu kusitisha huduma

Msemaji mkuu wa kisiasi Lawrence Kanyuka, ameutangazia umma kuwa ziwa Kivu kwa sasa halitumiki. Hivyo kuomba jeshi la serikali na SAMIDRC kukabidhi siraha zote kwa wanajeshi wa Umoja wa mataifa, na kukusanyika uwanja wa mpria uliyopo karibu hapo
Naunga mkono hoja
 
Mtu hakuwahi kupita hata Mugambo eti ni waziri wa ulinzi, ukimuuliza atakwambia vita ya sikuizi ni sayansi, haya na wewe tumia sayansi tuone.
Halafu unaambiwa jeshi lipo imara, hata Israel wenyewe wanaelewa viongozi ndio wanatoa mbinu na mikakakati mbali mbali ya kivita, ndio maana unakuta IDF inalenga viongozi wa maadui zao kijeshi, sasa kiongozi ni mweupe kichwani, hapo kuna usalama kweli.
 
K

wanza kwa muundo tu wa wizara ya ulinzi wakuu wa vyombo wanalipoti direct kwa commander in chief au rais waziri ni cheo tu cha kisiasa anaenda kusoma magazeti wizarani au kufanya uzinduzi wa mambo mbalimbali basi hilo tu.
Ni sawa kufanya hivyo kama haupo serious na masuala ya kiusalama wa taifa lako, lakini kama upo serious na unaelewa nini unafanya, wizara ya ulinzi inapaswa wawekwe vichwa haswa wanaoelewa masuala ya kiusalama na kijeshi.

Kwanza ni rahisi hata wao kutoa mawazo ili kutatua changamoto ya kiusalama inapotokea, anaweza hata kumshauri rais.
 
Fact
 
Haendi vitani lakini inapaswa awe ana ABCD za masuala ya kiusalama hata basics tu, mtu mwenyewe binocular tu hajui kutumia, huyo atatoa ushauri gani hata kwenye masuala ya kiusalama.. nini maana ya kuchaguliwa kuwa waziri wa ulinzi?

Angalia kama secretary of defense wa US huyo jamaa Pete Hegseth aliyechaguliwa na Trump, jamaa ni veteran na alishafikia cheo cha major, amepigana vita Iraq na Afghanistan, jamaa ana medali za kijeshi mbali mbali.

Hata kocha wa mpira haingii kucheza lakini lazima awe anauelewa mpira vyema.
Mkuu waziri ni nafasi ya kisiasa sio ya kijeshi
 
Daah aisee safari hii hao M 23 wana nguvu sana kupita kipindi chochote maana wameuawa karibu wanajeshi 13 wa kigeni huko Goma inaonekana wamejipanga sana ila bado samiti kama majeshi ya kigeni yakatumia nguvu zaidi watashindwa hapana..
Jeshini nani unamjua alietangaza idadi halisi!? Wanaouwa na wao wanauwawa! Ni siri zao lakini ujue pale kinachoendelea si mchezo. No retreat no surrender
 
Rais wa DRC kaabika sana. Askari anajisalimisha kwa waasi. Dharau kubwa sana. Hawa M23 lazma waende mji mwingine kwa urahisi walioupata Goma.
 
Jeshimi nani unamjua alietangaza idadi halisi!? Wanaouwa na wao wanauwawa! Ni siri zao lakini ujue pale kinachoendelea si mchezo. No retreat no surrender
Nina biashara huko Goma huwa napeleka kutoa SA mkuu wenyeji wangu wamenielekeza hali ya huko ilivyo ngumu ingawaje kwa sasa nipo SA.
 
Haendi vitani lakini inapaswa awe ana ABCD za masuala ya kiusalama hata basics tu, mtu mwenyewe binocular tu hajui kutumia, huyo atatoa ushauri gani hata kwenye masuala ya kiusalama.. nini maana ya kuchaguliwa kuwa waziri wa ulinzi?

Angalia kama secretary of defense wa US huyo jamaa Pete Hegseth aliyechaguliwa na Trump, jamaa ni veteran na alishafikia cheo cha major, amepigana vita Iraq na Afghanistan, jamaa ana medali za kijeshi mbali mbali.

Hata kocha wa mpira haingii kucheza lakini lazima awe anauelewa mpira vyema.
Wacha kuharisha haitatokea us kuwa sawa na tz ficha ujinga na diploma yako ya tandabui
 
Mkuu waziri ni nafasi ya kisiasa sio ya kijeshi
Sifa ya mtanzania kukaza nati kitu asichoelewa hata ukimwelekeza unajisymbua pale wuzarani wenye taaluma ya kijeshi wapo wengi wazima ni kiunganishi tu jamani eleweni mambo yanavoenda
 
Wacha kuharisha haitatokea us kuwa sawa na tz ficha ujinga na diploma yako ya tandabui
Hivi hadi kuteua waziri mwenye uwezo na uelewa mkubwa wa masuala ya kiusalama inahitaji hadi tuwe na uwezo wa kijeshi na kiuchumi kama EU na USA?

Au umekariri maisha, kumbe kuna watu wajinga.
 
Sifa ya mtanzania kukaza nati kitu asichoelewa hata ukimwelekeza unajisymbua pale wuzarani wenye taaluma ya kijeshi wapo wengi wazima ni kiunganishi tu jamani eleweni mambo yanavoenda
Narudia waziri ni nafasi ya kisiasa
 
Back
Top Bottom