A
Anonymous
Guest
Ziwa lipo jirani ila Wananchi wa Nyashishi na Usagara (Mwanza) hatujawahi kuwa na maji ya bomba
Wananchi wa Nyashishi na Usagara Mwanza tangu Dunia iumbwe maeneo hayo hayajawahi kuwa na bomba la maji ilihali Ziwa Victoria liko jirani!
Maji tunayotumia sasa tunachimba visima tu na ni maji machafu, wakati mwingine tunauziwa maji na mtu mmoja aliyechimba kisima kwa ku-drill ana-suply maji kwa baadhi ya miji!
Pia soma: MWAUWASA: Kukosekana kwa huduma Uzalishaji na Usambazaji wa Maji Mwanza imetokana na hitilafu ya umeme