A
Kwahiyo Serikali haifahamu hilo, au imewashindwa? Huu ni Uzembe tu.Sasa uyo mwenye kisima ndio mchawi wenu. Huu upuuzi upo Moro, wale masupplier wa maji wenye ma bowser magari yale ndio wachawi wa Moro mjini kupata maji.
Unaongelea Meru nadhaniSisi kule kwetu Arusha miaka mingi iliyopita baada ya wananchi kuona serikali haileti huduma ya maji, wanachi walipitisha michango ya lazima mabomba ya kusafirisha maji yakanunuliwa kwa ajili ya kusafirisha maji kutoka kwenye chemchem, matenki makubwa yakatengenezwa.
Kila mwananchi akawa amevuta maji ya bomba nyumbani kwake, maji ni free hakuna kulipia malipo ya mwezi na yanatoka kila siku.
Mindset ya watu wa Arusha na mikoa mingine ni tofauti sana.
Endeeleni kusubiri serikali, msijiongeze.
Yah Meru (ArumeruUnaongelea Meru nadhani
Maji kama maji ausio!
Hawajali raia hawa!Ziwa lipo jirani ila Wananchi wa Nyashishi na Usagara (Mwanza) hatujawahi kuwa na maji ya bomba
Wananchi wa Nyashishi na Usagara Mwanza tangu Dunia iumbwe maeneo hayo hayajawahi kuwa na bomba la maji ilihali Ziwa Victoria liko jirani!
Maji tunayotumia sasa tunachimba visima tu na ni maji machafu, wakati mwingine tunauziwa maji na mtu mmoja aliyechimba kisima kwa ku-drill ana-suply maji kwa baadhi ya miji!