Ziwa Nyasa limeporwa kikamilifu?

Hilo ziwa hata likiwa upande wetu tumefaidika nini?
 
Hao maaskari wanaolindaga mipaka walikuwa wapi hadi wamalawi wahamishe mipaka?

Ina maana hamna wanajeshi kabisa kwenye hilo ziwa!? Kama ni hivyo, basi hatuko salama!
Maafisa wako bize kulinda Gaidi Mbowe asitoroke
 
Wenye nchi yao( ma-ccm) wakapambane sisi tumeshatangulia Burundi.
 
Wanaweza kucheza na hizo picha na ramani za google ila wakitaka kuju kilichomnyoa kanga manyoya na wasogee kwenye ufukwe wetu wajenge kituo Cha forodha au wazuie watu wetu kufanya shughuli zao ziwani! Watamkumbuka Mwalimu Nyerere alichomfanyia Kumuzu Banda![emoji2]
 
Wenzetu wanaandaa mazingira ya kisheria wewe unawaza ubabe tu. Vipi kama wamalawi wakipewa saport na wababe wa dunia?
 
Hilo ziwa linatumika na nchi 2,tanzania na Malawi
Nyie mnataka kujimilikisha ziwa lote

Ova
 
Kijana wa Jana,

Kweli wewe ni kijana wa Jana. Labda huijui vizuri historia ya nchi yetu.

Huo mpaka unaoipa Malawi ziwa lote la Nyasa kwa upande wa Tanzania ndio ulichorwa na wakoloni na ndio ramani walituachia hiyo.

Hiyo ramani yenye mpaka katikati ya ziwa ni ramani ambayo sisi Watanzania kama nchi huru tumechora.

Tumeukataa huo mpaka wa Wakoloni kwasababu haukushirikisha wananchi katika kuamua hicho walichoamua.

Kwahiyo hakuna kilichobadilika na hakuna siku Malawi itamiliki asilimia 100 ya hili ziwa.
 
Huu ndiyo msimamo wa International riparian rights. Hakuna kupindisha
 
Eti amri jeshi mama nani aende kumpigania aje raisi chuma mtanganyika mwenye uchungu
Hata akiwaamrisha wajeda wanatii
 
Niongezee hapo. nikuwa Sheria ya kimataifa ya mipaka inasema nchi mbili zi ikitenha ishwa na maji kama mpaka basi mpaka utapita katikati ya maji logical)
Kisheria tunamililki nusu ya ziwa
 
Kwani shida iko wapi na sisi tukachora mpaka mpya tukaita lake kyela
 
Nimetoka kuprove kama mtoa mada yupo sahihi, nilichokuja kugundua Watanzania tumeporwa Kipande cha Ziwa NYASA na Jina nalo limebadilishwa kutoka LIKE NYASA mpaka LAKE MALAWI.
HATUJAPORWA na hatuwezi kuporwa. Hizo ni ndoto za mwendawazimu tu
 
Leo Uganda wanachimba mafuta , Wakati zanzibar ilianza Exploration tangia miaka ya 50s.
Lakini Tanganyika wametuwekea kauzibe .
Hadi leo imebaki makabrasha tuu, etu hatuwezi kuchimba kwa vile hatuna sovereghnity.
To Hell,
Hii ni post ya mwaka 2021, unasema Uganda wanachimba mafuta. Je wamechimba gallon ngapi?
 
Nimetoka kuprove kama mtoa mada yupo sahihi, nilichokuja kugundua Watanzania tumeporwa Kipande cha Ziwa NYASA na Jina nalo limebadilishwa kutoka LIKE NYASA mpaka LAKE MALAWI.
wala haina shida, upande wa Tanzania tunaitaga hilo ziwa "nyasa", ila malawi huwa wanaita "ziwa malawi". hawajapora.
 
Tunazo mali asili nyingi hata sijui tunazitumiaje...waachieni kama linawasaidia maana huku halitusaidii!
 
Naona serikali yangu tukufu ya mama Samia imeanza kuchukua hatua kuhusu hili ziwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…