Ziwa Nyasa maarufu Mwasumbi hali ni mbaya

Leo hii ziwa Nyasa (Sumbi) kumechufuka ni balaa! Ziwa halisafiriki! Mawimbi ni makumbwa sana. Hakuna chombo kuingia ziwani ni hatari hata kukaa pwani ya ziwa, mbona TMA hamkuweza kututaarifu mapema.
Kila siku wanatoa utabiri wa Haki ya hewa na tahadhari,unashinda kwenye boda mda wote utajuaje?
 
Picha iko wapi???mbona unazua taharuki bila ushahidi!? Tuma picha ya hayo machafuko tuwatahadharishe ndugu jamaa na marafiki kwa nafasi ya kila mtu kulingana na ushahid wa picha. Ila hilo ziwa si ni ziwa Malawi lakini?
 
Hili ziwa kuchafuka ni asili yake. Ni Moja ya maziwa hatari duniani Kwa na mawimbi makumbwa.
Sina simu nzuri ya picha ningeweza kutuma ujionee mwenyewe hakuna taharuki hapa.
 
Leo hii ziwa Nyasa (Sumbi) kumechufuka ni balaa! Ziwa halisafiriki! Mawimbi ni makumbwa sana. Hakuna chombo kuingia ziwani ni hatari hata kukaa pwani ya ziwa, mbona TMA hamkuweza kututaarifu mapema.
Kwakuwa ulaya hawakutaja kwenye hali za hewa TMA wamekosa kwa kukopi.
 
Ukiwa upande wa Malawi, kila siku jioni hutoa utabiri unaohusiana na ziwa Nyasa. Sijui kwa Tanzania wanafeli wapi?
Hili ziwa kuchafuka ni asili yake. Ni Moja ya maziwa hatari duniani Kwa na mawimbi makumbwa.
Sina simu nzuri ya picha ningeweza kutuma ujionee mwenyewe hakuna taharuki hapa.
 
TMA hawahusiki ziwa lipo Malawi

Acha masihala, leo alfajiri baadhi ya maeneo ya pwani kusini mwa tz kumekuwa na mvua pamoja na upepo mkali kiasi, je mamlaka ya hali ya hewa ilitoa tahadhari maana vipimo vyao vinatabiri siku kadhaa kabla ya tukio

au ndio tunafanya utani kisa aliyeuliza yupo ziwa nyasa japokuwa ujaweza kujua kama yupo tz au malawi
 
Back
Top Bottom