Ziwa Nyasa maarufu Mwasumbi hali ni mbaya

Leo hii ziwa Nyasa (Sumbi) kumechufuka ni balaa! Ziwa halisafiriki! Mawimbi ni makumbwa sana. Hakuna chombo kuingia ziwani ni hatari hata kukaa pwani ya ziwa, mbona TMA hamkuweza kututaarifu mapema.
Watumie picha TMA itawasaidia kujitetea
 
Leo hii ziwa Nyasa (Sumbi) kumechufuka ni balaa! Ziwa halisafiriki! Mawimbi ni makumbwa sana. Hakuna chombo kuingia ziwani ni hatari hata kukaa pwani ya ziwa, mbona TMA hamkuweza kututaarifu mapema.
Ni hali ya kawaida kwa Ziwa na hata Bahari hutokea muda furani, kwahyo punguza mumkari hyo hali itatoweka na Inshallah muda si mrefu utaenda Kutambiza mkuu.
 
Leo hii ziwa Nyasa (Sumbi) kumechufuka ni balaa! Ziwa halisafiriki! Mawimbi ni makumbwa sana. Hakuna chombo kuingia ziwani ni hatari hata kukaa pwani ya ziwa, mbona TMA hamkuweza kututaarifu mapema.
Usalama unaanza na nyie wenyewe msiwasubirie hao TMA
bora muambiane huko hakuna mtu kwenda ziwani

Ova
 
Hamkutwambia kama hilo ziwa linaitwa mwasumbi...
Wanyakyusa wote wanafahamu kwa miaka mingi jina Hilo la ndiyo maana tunawashangaa Malawi kusema ni ziwa lao Ili Hali wanyakyusa na Wakisi watanzania wamekaa hapo na kutumia ziwa Hilo kwa miaka mingi
 
Back
Top Bottom