Mpap Ndabhit
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 331
- 416
Kwani huko uliko taja wanaishi binadamu wazanzibar na waarabu? Au wapo sisimizi na Masokwe tuLeo hii ziwa Nyasa (Sumbi) kumechufuka ni balaa! Ziwa halisafiriki! Mawimbi ni makumbwa sana. Hakuna chombo kuingia ziwani ni hatari hata kukaa pwani ya ziwa, mbona TMA hamkuweza kututaarifu mapema.
Sijawahi sikia Mkuu!TMA hawahusiki ziwa lipo Malawi
Kila siku wanatoa utabiri wa Haki ya hewa na tahadhari,unashinda kwenye boda mda wote utajuaje?Leo hii ziwa Nyasa (Sumbi) kumechufuka ni balaa! Ziwa halisafiriki! Mawimbi ni makumbwa sana. Hakuna chombo kuingia ziwani ni hatari hata kukaa pwani ya ziwa, mbona TMA hamkuweza kututaarifu mapema.
Umekosea Mimi nashinda kwenye mitumbwi siyo boda.Kila siku wanatoa utabiri wa Haki ya hewa na tahadhari,unashinda kwenye boda mda wote utajuaje?
Muwe mnafuatilia taarifa za Hali ya hewa,yatawakuta kama ya DRCUmekosea Mimi nashinda kwenye mitumbwi siyo boda.
Hili ziwa kuchafuka ni asili yake. Ni Moja ya maziwa hatari duniani Kwa na mawimbi makumbwa.Picha iko wapi???mbona unazua taharuki bila ushahidi!? Tuma picha ya hayo machafuko tuwatahadharishe ndugu jamaa na marafiki kwa nafasi ya kila mtu kulingana na ushahid wa picha. Ila hilo ziwa si ni ziwa Malawi lakini?
Kwakuwa ulaya hawakutaja kwenye hali za hewa TMA wamekosa kwa kukopi.Leo hii ziwa Nyasa (Sumbi) kumechufuka ni balaa! Ziwa halisafiriki! Mawimbi ni makumbwa sana. Hakuna chombo kuingia ziwani ni hatari hata kukaa pwani ya ziwa, mbona TMA hamkuweza kututaarifu mapema.
Umenikumbusha mbali sana Mkuu.Hakutakuwa na Ngerwa, Usipa wala Mbelele
Asante!TMA hawahusiki ziwa lipo Malawi
Hili ziwa kuchafuka ni asili yake. Ni Moja ya maziwa hatari duniani Kwa na mawimbi makumbwa.
Sina simu nzuri ya picha ningeweza kutuma ujionee mwenyewe hakuna taharuki hapa.
TMA hawahusiki ziwa lipo Malawi
Sifa:-Umekosea Mimi nashinda kwenye mitumbwi siyo boda.
Kwahiyo tumlaumu rais samia pia?Leo hii ziwa Nyasa (Sumbi) kumechufuka ni balaa! Ziwa halisafiriki! Mawimbi ni makumbwa sana. Hakuna chombo kuingia ziwani ni hatari hata kukaa pwani ya ziwa, mbona TMA hamkuweza kututaarifu mapema.