Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
Watumie picha TMA itawasaidia kujiteteaLeo hii ziwa Nyasa (Sumbi) kumechufuka ni balaa! Ziwa halisafiriki! Mawimbi ni makumbwa sana. Hakuna chombo kuingia ziwani ni hatari hata kukaa pwani ya ziwa, mbona TMA hamkuweza kututaarifu mapema.
Ni hali ya kawaida kwa Ziwa na hata Bahari hutokea muda furani, kwahyo punguza mumkari hyo hali itatoweka na Inshallah muda si mrefu utaenda Kutambiza mkuu.Leo hii ziwa Nyasa (Sumbi) kumechufuka ni balaa! Ziwa halisafiriki! Mawimbi ni makumbwa sana. Hakuna chombo kuingia ziwani ni hatari hata kukaa pwani ya ziwa, mbona TMA hamkuweza kututaarifu mapema.
Usalama unaanza na nyie wenyewe msiwasubirie hao TMALeo hii ziwa Nyasa (Sumbi) kumechufuka ni balaa! Ziwa halisafiriki! Mawimbi ni makumbwa sana. Hakuna chombo kuingia ziwani ni hatari hata kukaa pwani ya ziwa, mbona TMA hamkuweza kututaarifu mapema.
Tutajiliaga vitui na mantula.Hakutakuwa na Ngerwa, Usipa wala Mbelele
Tulibwino kai, zikuyenda?Mulibwanji atate? π
Wanyakyusa wote wanafahamu kwa miaka mingi jina Hilo la ndiyo maana tunawashangaa Malawi kusema ni ziwa lao Ili Hali wanyakyusa na Wakisi watanzania wamekaa hapo na kutumia ziwa Hilo kwa miaka mingiHamkutwambia kama hilo ziwa linaitwa mwasumbi...
Zikomu kwambili ππππΉTulibwino kai, zikuyenda?