Ziwe nzuri zisiwe nzuri je imekuwaje zimevuja?

Ziwe nzuri zisiwe nzuri je imekuwaje zimevuja?

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,615
Reaction score
1,901
Hili limeniacha hoi sana, linapokuja swala la kuvuja kwa jezi tena kwenye taasisi kubwa kama ya Simba na Jrutty.

Hapa tuseme kuna watu ndani ya simba hawana vifua?

Au kuna watu ndani ya simba ni YANGA?

Au tuseme zimefujishwa kusudi ?

Au sio mbaya?
 
Back
Top Bottom