Uwesutanzania JF-Expert Member Joined Feb 9, 2019 Posts 1,615 Reaction score 1,901 Aug 31, 2025 #1 Hili limeniacha hoi sana, linapokuja swala la kuvuja kwa jezi tena kwenye taasisi kubwa kama ya Simba na Jrutty. Hapa tuseme kuna watu ndani ya simba hawana vifua? Au kuna watu ndani ya simba ni YANGA? Au tuseme zimefujishwa kusudi ? Au sio mbaya?
Hili limeniacha hoi sana, linapokuja swala la kuvuja kwa jezi tena kwenye taasisi kubwa kama ya Simba na Jrutty. Hapa tuseme kuna watu ndani ya simba hawana vifua? Au kuna watu ndani ya simba ni YANGA? Au tuseme zimefujishwa kusudi ? Au sio mbaya?