Zizou vs Ronaldinho

Zizou vs Ronaldinho

Wote ni wakali,

Ila kwangu mimi sijapata kuona kifaa kama Ronaldinho....

Huyu mtu alizaliwa kwa ajili ya kucheza mpira tu!
 
km nilivyo muumini wa iglesia maradoniana. dini ya dinho ikianza tu NIMO ... huyu mtu ameniwekEa mizizi mikubwa sana kwenye mapenzi yangu na the blaugrana aka la liga champs mara tatu mfulilizo aka ucl champs FC BARCELONA... IKIANZA DINI YA DINHO(IGLESIA RONALDINHOIANA) MIMI NTAKUWA MUUMINI NAMBA MOJA NILIZAMIKA KUIFUATILIA LA LIGA INGAWA NILIKUWA NA ZIONA KWA TAABU SANA MECHI NA KUISHIA KUPATA HIGHTLIGHT SKYSPORT CNN NA SUPERPORT MPK SASA NAZIFOLLOW VIA LIVE USTREAM RONALDINHO NI NOMA NAFIKIRI KWA KIPINDI AMBACHO NIMEANZA KUNCONC KWENYE SOKA YEYE NDIO ALIKUWA KWENYE PICK YAKE NAFIKIRI HAWA NDIO WATAKUWA WAFURAHISHAJI PARADISO YA BWANA . BWANA ASEMA WATAKUJA NA WATAPOTEA LAKINI NENO (RONALDIHO) MHHHHHH.
 
Dah we bwana umemaliza kila kitu...Gaucho ni jina juu ya majina
 
Zinedine Zidane a.k.a ZIZOU ndiye zaidi kati ya wakali hao wawili. Akili, control, nguvu, maamuzi. Utadhani miguu yake ina macho.
 
kama ni kipaji basi Dinho anamzidi Zidane, lakini kiuchezaji ningekuwa kocha ningemchagua Zidane mara 100 kuliko Dinho
mchezaji hapimwi kwa kipaji peke yake, bali kwa kuangalia vigezo vingi ambavyo nahisi Zidane ni bora.
 
kama ni kipaji basi Dinho anamzidi Zidane, lakini kiuchezaji ningekuwa kocha ningemchagua Zidane mara 100 kuliko Dinhomchezaji hapimwi kwa kipaji peke yake, bali kwa kuangalia vigezo vingi ambavyo nahisi Zidane ni bora.
Hata kurukia wenzake vichwa kama Mbuzi nacho pia ni kipaji...
 
Hata kurukia wenzake vichwa kama Mbuzi nacho pia ni kipaji...
Kuhusu kuzuia hasira ni vile mtu alivyo, kila mtu ana kiasi chake anachoweza kuvumilia kuzuia hasira zake. Materrazzi alimprovoke Zizzou, ndipo Zizzou akareact vile, hivi vitu(kupata hasira kutokana na kuchokozwa) huwa vinatokea kwa wachezaji wengi na binadamu wote kwa ujumla.

Dinho ni gifted player zaidi kuliko Zizzou, na Zizzou ni great player zaidi kuliko Dinho. Dinho ni Showboater zaidi kuliko Zizzou ndiyo maana watu wengi inawachanganya kuhisi Dinho ni zaidi. Wapo wachezaji wengi wanaoweza kufanya Slick Showboating skills ambazo hata Dinho haziwezi kama vile; Redondo, Okocha, Ilhan Mansiz(Turkey 2002), Quaresma, Kempes(alishawahi kuchezea Evarton au Fulham), Joe Cole....... list inaendelea na wapo wengine hakupata nafasi ya kucheza katika ligi kubwa na kuonekana na watu wengi katika media mbalimbali, kama huamini fuatilia ligi za mchangani au hata katika ligi yetu wamepita wachezaji wengi ambao naamini wangeweza kushowboat kuliko Dinho kwa mfano Hussein Marsha.

Makocha wengi kwenye ligi za ulaya ambako nguvu na kasi hutumika sana showboating isn't entertaine. Naamini kama wachezaji kama Joe Cole Kun Alguero wangeachiwa na makocha wao kufanya mbwembwe basi wangekuwa maarufu kuliko Dinho.

Zizzou anamzidi Dinho kwenye; Body balance, kutumia miguu yote, kuongoza wenzake, kupiga mipira ya vichwa, kucheza katika kiwango kikubwa kwa muda mrefu
Vilevile angalia Clips za Zizzou kwenye utube kuna game moja walikutana Dinho alipigwa chenga moja akapotea mzimamzima.
 
Kuhusu kuzuia hasira ni vile mtu alivyo, kila mtu ana kiasi chake anachoweza kuvumilia kuzuia hasira zake. Materrazzi alimprovoke Zizzou, ndipo Zizzou akareact vile, hivi vitu(kupata hasira kutokana na kuchokozwa) huwa vinatokea kwa wachezaji wengi na binadamu wote kwa ujumla.Dinho ni gifted player zaidi kuliko Zizzou, na Zizzou ni great player zaidi kuliko Dinho. Dinho ni Showboater zaidi kuliko Zizzou ndiyo maana watu wengi inawachanganya kuhisi Dinho ni zaidi. Wapo wachezaji wengi wanaoweza kufanya Slick Showboating skills ambazo hata Dinho haziwezi kama vile; Redondo, Okocha, Ilhan Mansiz(Turkey 2002), Quaresma, Kempes(alishawahi kuchezea Evarton au Fulham), Joe Cole....... list inaendelea na wapo wengine hakupata nafasi ya kucheza katika ligi kubwa na kuonekana na watu wengi katika media mbalimbali, kama huamini fuatilia ligi za mchangani au hata katika ligi yetu wamepita wachezaji wengi ambao naamini wangeweza kushowboat kuliko Dinho kwa mfano Hussein Marsha.Makocha wengi kwenye ligi za ulaya ambako nguvu na kasi hutumika sana showboating isn't entertaine. Naamini kama wachezaji kama Joe Cole Kun Alguero wangeachiwa na makocha wao kufanya mbwembwe basi wangekuwa maarufu kuliko Dinho.Zizzou anamzidi Dinho kwenye; Body balance, kutumia miguu yote, kuongoza wenzake, kupiga mipira ya vichwa, kucheza katika kiwango kikubwa kwa muda mrefuVilevile angalia Clips za Zizzou kwenye utube kuna game moja walikutana Dinho alipigwa chenga moja akapotea mzimamzima.
Umeongea ushuzi mtupu.Kwanza nimekushusha baada ya kusema eti Okocha, Quaresma, na Ilhan Mansiz wana skills ambazo Mt: Dinho hawezi kuzifanya.Then unasema eti kuna mech Mt: Gaucho alikutana na Zidane kisha Mtakatifu akapichwa chenga mzimamzima....hv unaikumbuka mechi ambayo Madrid alikula Thalasa yaani 3?Unakumbuka alichokuwa anakifanya Mtakatifu Gaucho mpaka Zidane akawwa anawatuma wenzake wakakabe then ye anajificha migongoni mwa wenzake?Ndugu yangu unapokuwa unaandika ubakize na ya kesho.Dinho ni mtume wa Soka toka Mbinguni.
 
Mi naona tofauti zao ni dini, na maeneo watokayo. Ila wote wawili ni marafiki wakubwa wa Ronaldo de Lima, my soccer icon
 
Ronaldinho was mazafaka good he can lob seamen form 30 yards!
but zizzou was supernatural mazafakini wizard
 
ila goli la ronaldinho alilowafunga chelsea pale stamford bridge ni kiboko, zizou hata akatamboke kwa miungu gani hawezi kamwe funga goli kama lile
 
Ni sawa lakini ameporomoka haraka sana!!
Kivipi?Hajaacha soka yuko kwao na anazidi eneza injili ya soka.we unafikiria mtu kuachana na ligi za ulaya ndio kuporomoka?je ulifuatilia ni timu ngapi za ulaya zilikuwa zinamtaka kipindi aliposema anasepa pande za kwao?Hata kesho akisema anarudi ulaya basi kuna vilabu vikubwa vitamtaka.Mtakatifu Gaucho ni wa pekee.Hajawahi tokea na wala hafananishwi.
 
km nilivyo muumini wa iglesia maradoniana. dini ya dinho ikianza tu NIMO ... huyu mtu ameniwekEa mizizi mikubwa sana kwenye mapenzi yangu na the blaugrana aka la liga champs mara tatu mfulilizo aka ucl champs FC BARCELONA... IKIANZA DINI YA DINHO(IGLESIA RONALDINHOIANA) MIMI NTAKUWA MUUMINI NAMBA MOJA NILIZAMIKA KUIFUATILIA LA LIGA INGAWA NILIKUWA NA ZIONA KWA TAABU SANA MECHI NA KUISHIA KUPATA HIGHTLIGHT SKYSPORT CNN NA SUPERPORT MPK SASA NAZIFOLLOW VIA LIVE USTREAM RONALDINHO NI NOMA NAFIKIRI KWA KIPINDI AMBACHO NIMEANZA KUNCONC KWENYE SOKA YEYE NDIO ALIKUWA KWENYE PICK YAKE NAFIKIRI HAWA NDIO WATAKUWA WAFURAHISHAJI PARADISO YA BWANA . BWANA ASEMA WATAKUJA NA WATAPOTEA LAKINI NENO (RONALDIHO) MHHHHHH.
there is no doubt none other than dinho..am even suffering from dinhophobia...
 
hawa watu wakiwa dimbani ni kama walikuwa na mawasiliano na mpira kwani waliweza kuufanya watakavyo!kwa kipaji ni ngumu kujua nani zaidi ila kwa moyo wa mapenzi na kumiss uchawi wake i go for zizzou!..dinho hajasoma alama za nyakati! kwa kipaji chake si mtu wa kuzomewa na washabiki wa timu yake kisa kucheza chini ya kiwango!ni fedheha!
 
Back
Top Bottom