Zizzou arejea tena Santiago Bernabeu

Mnazareth

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
3,474
Reaction score
7,404
Sijaelewa mantiki ya Zinedine Zidane kurudi tena kuifundisha Real Madrid.

Kipi kimemsibu Florentino Perez na menejimenti kiujumla??

Yote kwa Yote ilikuwa ni suala la muda jambo hili litimie,Natumai wachezaji na benchi zima la ufundi morali itarudi upya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zizou amefeli sana kukubali kurudi Madrid kwa mara ya pili.

Atafukuzwa msimu ujao unless labda kaitwa kujenga timu na sio kushindania ubingwa.
Naona amekosea sana tena huyu Perez sijui kama atakuwa na maisha Marefu.Ila hata hvyo mkataba ni mpaka mwisho wa msimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachojili ktk timu ya madird hakina dawa,timu ilikuwa imefika kwenye peak kwenye mafanikio.so ktk halo ya kawaida huwezi kuwa wewe kila siku no swala LA muda wanatakiwa wawe mseto kwa miaka kadhaa kisha watafufuka tena
 
Perez maji ya shingo alijifanya hataki kukubaliana na matakwa ya Zidane,ila anaweza kufail na kufuta mafanikio yote aliyoyapata na kuja fukuzwa kama mbwa
 
Dah Zidane amezingua kwakweli, Clubs nyingi Sana kubwa zilikua zinamtaka Ikiwemo Chelsea angejipa muda kidg tu angelamba shavu sehemu nzuri isiyo na presha km kwa Perez

Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea haina pressure??? Au umeongea kishabiki?
Hakuna timu kubwa duniani isiyo na presha. Unless unazungumzia Arsenal.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…