adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Robert Mancini kipindi chake cha ukocha mancity alichukuwa Epl hadi aliipiga sita man u vile vile hadi Pellegreen alichukuwa Epl akiwa na Man city. Anachofanya sasa Guardiola wameshafanya makocha kibao Mancity yote kwa sababu ya uwekezaji wanaoufanya sasa city inahitaji Uefa kama kwl yeye mwambaTuache au tupunguze chuki. Man Cty hii hii kabla ya Pep Guardiola walipita makocha wengine na tulishuhudia wakiteseka. Leo hii tunashuhudia Mourinho alivyoteseka na Man Utd timu yenye wachezaji ghali zaidi, pia tunashuhudia Maurizio Sarri akiteseka pale Chelsea timu ya tajiri mkubwa. Ndugu hautaathirika kwa namna yoyote ukikubali kuwa Man Cty inatesa kwa sababu ya uwezo wa kocha Pep Guardiola
Sent using Jamii Forums mobile app