Zizzou arejea tena Santiago Bernabeu

Robert Mancini kipindi chake cha ukocha mancity alichukuwa Epl hadi aliipiga sita man u vile vile hadi Pellegreen alichukuwa Epl akiwa na Man city. Anachofanya sasa Guardiola wameshafanya makocha kibao Mancity yote kwa sababu ya uwekezaji wanaoufanya sasa city inahitaji Uefa kama kwl yeye mwamba
 
pellegrin epl hakuchukua mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja tuone kama kismati chake bado kipo hapo Real Madrid.
 
Pep Guardiola amemwambia Zidane"Usije huku bwana..hawa nna kazi nao ya kingariba"
 
Safari hii anatoka kwa Aibu,sio kwa Heshima tena
 
Maelezo yako yanaashilia unachuki binafsi na Pep Gaurdiola

Na hii ni either Team inayoishangilia imepigwa vipigo vya mmbwa koko na tokea Pep aanze kazi hajawahi enda Team ambayo wewe unaishabikia [emoji3][emoji3]

Nilitalajia uchambue soka lakini cha ajabu umepuyanga na kuonyesha Pep hana uwezo ambao watu wanadhani

Umeenda mbali zaidi kuwa City hata asingekuwa Pep ingefanya vzr tu ukilinganisha wapo ambao wameyafanya kabla ya Pep


Kwamba unatuaminisha wapo ambao waliifikisha City Nusu Final CL msimu wa kwanza tu kushika Team..

Unataka kutuambia ukichukua vikosi vya hao waliopita Vs cha Pep basi Pep atafungw[emoji23]

Pep Gaurdiola ni Genius wa Soka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…