Zizzou Fashion & Zizzou Entertainment walipatwa na nini wadau ?

Zizzou Fashion & Zizzou Entertainment walipatwa na nini wadau ?

Kwa maronyaronya yale wangekikije sasa...nilisikiaga promotion zao kwenye media nilivoenda ptuuuu
 
Mkuu tusi baya sana hadi najiskia kama vile limekwenda kwa mama yangu, please naomba ufute kauli. Nakuomba kama hutojali
Mkuu hata mimi sijapenda kumjibu hivo ila huyo ni mpuuzi hakuwa na haja ya kunijibu vile, nawaheshimu sana kina mama wote ila nilitaka iguse mfupa ajue kila mtu anauwezo wa kutoa maneno machafu, nisamehe ndugu yangu!
 
Back
Top Bottom