Zlatan Ibrahimovic is overrated

Ndo uwezo wako wa kufikiri ulipokomea.
 
use unasomaga sasa facts
Yaani jamaa kila timu aliyopitia alibeba kombe tena timu nyingi, nahisi ana rekodi ya kipekee kwa hilo hakuna mwingine mwenye sifa hizo
 
Wewe hujui mpira kabisa ninyie mnaoenda google mnajifanya mnajua mpira kuanza ubishi ujinga mtupu!
 
Acheni u.jinga...numbers dont lie. Ukiwa striker kazi yako ni kufunga magoli tuu na yeye ndicho anachofanya. Kila mechi lazima afunge. Anakuja mtu hapa anamlinganisha na Goroud ha ha haaaaaaaa
 
Msameheni bure siunajua watoto wa sekondari wamejaa ubashite tu....atuache na zlatan huyo huyo ndo anatupeleka uefa next season
 
waingereza hawapendi kusifia mchezaji wa kigeni wakimsifia basi kawatenda.Adakadabla ni mtendaji cazola ni mzuri lkn sio type yake au la utake umpandishe tu nae asikike
 
Ile mikamba aliyokuwa anaitupia pale PSG hatari..,mleta uzi nadhani ana tatizo kumkichwa..
 
Zlatan karudi sasa! Lukaku wako atatusubiri
 

Alimkimbia Messi baada ya kujiona koko


Zlatan namfananisha na gaucho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…