Zlatan Ibrahimovic is overrated

Zlatan Ibrahimovic is overrated

e46203511c5e9926a6e76339d0ae1a25.jpg
use unasomaga sasa facts
Yaani jamaa kila timu aliyopitia alibeba kombe tena timu nyingi, nahisi ana rekodi ya kipekee kwa hilo hakuna mwingine mwenye sifa hizo
 
Wewe hujui mpira kabisa ninyie mnaoenda google mnajifanya mnajua mpira kuanza ubishi ujinga mtupu!
 
Acheni u.jinga...numbers dont lie. Ukiwa striker kazi yako ni kufunga magoli tuu na yeye ndicho anachofanya. Kila mechi lazima afunge. Anakuja mtu hapa anamlinganisha na Goroud ha ha haaaaaaaa
 
Mkuu hata kama humpendi zlatan kwa kiwango gan ila kitendo cha kumfananisha uwezo wa zlatan na Giroud inadhihirisha either una chuki binafsi ama hufahamu historia ya zlatan mpaka hatua aliyopo sasa. Sometimes hata kama uko timu pinzan haimaanishi usiwakubali wachezaji wenye uwezo wa timu zingine. Kwa mf, mm ni shabiki wa man utd ila natambua na kukubali uwezo wa juu wa wachezaji wa timu zingine kama Ronaldo, Messi, Neymar, Suarez, Sanchez, coutinho, hazard, grezman na wengine kibao. Kwa hiyo acha chuki binafsi kwa mchezaj ama timu fulan
Msameheni bure siunajua watoto wa sekondari wamejaa ubashite tu....atuache na zlatan huyo huyo ndo anatupeleka uefa next season
 
waingereza hawapendi kusifia mchezaji wa kigeni wakimsifia basi kawatenda.Adakadabla ni mtendaji cazola ni mzuri lkn sio type yake au la utake umpandishe tu nae asikike
 
Ile mikamba aliyokuwa anaitupia pale PSG hatari..,mleta uzi nadhani ana tatizo kumkichwa..
 
Ana uwezo wa kawaida mno na hana tofauti na Olivier Giroud sema tu kwasasa anazungumzwa sana kwa kuwa yupo timu ya wapayukaji duniani, jiulizeni kwanini alichemsha vibaya akiwa Barcelona? Akaenda kung'aa kwenye ligi ya Ufaransa ambayo ni sawa na ligi ya timu moja au ligi ya mchangani. kwa kifupi zlatan anapewa sifa zisizostahili.
Zlatan karudi sasa! Lukaku wako atatusubiri
 
mimi ni mshabiki pure wa ARSENAL..lakini bila kinyongo nakiri..ZLATAN IBRAMOVIC ni mnyama mwingine..wala ARSENAL haina mtu wa kumfananisha nae...huyu jamaa namfuatilia miaka mingi sana..nimelisikia jina lake tokea miaka.hio mpaka leo ni mkali..BARCELONA alishindwa kwa sababu makocha wengi wa BARCELONA ni MUNGU mtu..wanapenda kunyenyekewa wakati zlatani hajui kumnyenyekea mtu..yeye anaamini anajua..umpange usimpange ni juuu yako...sio kama wale wanaompigia kocha.magoti wakitaka.kupangwa

Alimkimbia Messi baada ya kujiona koko


Zlatan namfananisha na gaucho
 
Back
Top Bottom