Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Wewe na nani mmeifikisha timu hapo?Kwani anachezea timu gani kwa sasa?
Atuachie tulioifikisha timu hapa ndo tukainjoi, yeye aende kama mtu wa kwenye benchi la ufundi na si mchezaji.
Wewe na nanai mmeifikisha timu hapo?
Nilitegemea ! Na ana uwezo wa kucheza 60 mnts vizuri tu.Baada ya Sweden kufuzu fainali zijazo za Kombe la Dunia huko Russia, tetesi zimeibuka kuwa Mshambuliaji mkongwe wa Nchi hiyo ambaye alistaafu kuchezea timu ya Taifa, anafikiria kurudi kuchezea timu hiyo kwenye fainali hizo zijazo mwkani.
Je nini mtazamo wako kuhusu kurudi kwa Zlatan katika timu ya taifa ya Sweden?
Baada ya Sweden kufuzu fainali zijazo za Kombe la Dunia huko Russia, tetesi zimeibuka kuwa Mshambuliaji mkongwe wa Nchi hiyo ambaye alistaafu kuchezea timu ya Taifa, anafikiria kurudi kuchezea timu hiyo kwenye fainali hizo zijazo mwkani.
Je nini mtazamo wako kuhusu kurudi kwa Zlatan katika timu ya taifa ya Sweden?
aache unafiki, yeye si alisha staafu soka la kimataifa, ameona wamefuzu ndio anajitia kiherehere kurudi, sweden wasikubali atawatia gundu la man u