Zlatan Ibrahimovic kurudi timu ya Taifa ya Sweden ?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Baada ya Sweden kufuzu fainali zijazo za Kombe la Dunia huko Russia, tetesi zimeibuka kuwa Mshambuliaji mkongwe wa Nchi hiyo ambaye alistaafu kuchezea timu ya Taifa, anafikiria kurudi kuchezea timu hiyo kwenye fainali hizo zijazo mwkani.

Je nini mtazamo wako kuhusu kurudi kwa Zlatan katika timu ya taifa ya Sweden?
 
Nilitegemea ! Na ana uwezo wa kucheza 60 mnts vizuri tu.
 
Baada ya Sweden kufuzu fainali zijazo za Kombe la Dunia huko Russia, tetesi zimeibuka kuwa Mshambuliaji mkongwe wa Nchi hiyo ambaye alistaafu kuchezea timu ya Taifa, anafikiria kurudi kuchezea timu hiyo kwenye fainali hizo zijazo mwkani.

Je nini mtazamo wako kuhusu kurudi kwa Zlatan katika timu ya taifa ya Sweden?

wenzetu wenye bahati zao za kufika huko !!
kwa SIMBA ( kama anamvyojiita mwenyewe) ni mchezaji mzuri sana, atasaidia sana nchi yake.
ila isiwe ndio sababu ya kuwanyima nafasi walioifikisha timu hapo ilipo !!
 
aache unafiki, yeye si alisha staafu soka la kimataifa, ameona wamefuzu ndio anajitia kiherehere kurudi, sweden wasikubali atawatia gundu la man u
 
Wasimkubalie huyo, angekuwa kidume angekomaa kwenye qualifiers tuone.
 
Wanaume wamehangaika wakafuzu...naye anajitokeza. ..apumzike KWA aman awaache vijana...aende Hollywood kutamfaa zaid
 
Back
Top Bottom