Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KWASASA nyie Ni white devil 😈Daah,tunadhalilika sana fans wa red devil...bado kushindanishwa na timu ya mpira ya sisimizi.
Itakuwa ....wanaopita kimya ni man u hawaHuu uzi mbona watu waufungua, wanasoma tu kupita kimya kimya! Kulikoni?
Anyway, mimi ni shabiki wa Yanga na pia Chelsea. Hivyo nimekuja tu kusafisha njia kwa mashabiki wa hiyo timu yenu inayoweza kufungwa na timu ya wanawake wajawazito. [emoji1768]