Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
UKIELEWA HAYA KAVITU NI RAHA SANA HASA KWA MAISHA YETU YA KILA SIKU,HAPA NIMECHEKA SANA, CANCERIAN VS LEO, HATA UFANYAJE MTU WA KAA UTAKAPOFANYA KAZI YA PAMOJA NA MTU WA SIMBA ATAKUZIDI TU HATA UFANYAJE AKILI NI KUMUEPUKA.
kumbe nawe ni Aquarius kama mimi🤣😂🤣Huyu ni mim kabisa yani
Ndio mkuu team Aquarius hapakumbe nawe ni Aquarius kama mimi🤣😂🤣
maalim tupe tafsiri ya taswira hii.
You can predict your future though Zodiac ...Mimi Pisces,nakumbuka Mara ya kwanza nimefahamu kuhusu zodiac signs nilivyosoma kuhusu Pisces nilishangaa Sana maana ilikua Ni Kama najisoma hahahah.
...nakumbuka kwenye birthday yangu mwaka jana Kuna mtu nipo nae kazini aligoogle hizo tabia za Pisces akanitumia eti anasema yaani nimesoma hizi nikawa nakuona kabisa this is totally you, sema kibongobongo Pisces tunateseka Sana[emoji1][emoji1]
Really?? Someone told me to stop reading and listening to what zodiac signs says about me because its a sin, and I was just like 😳😳,well am going to hell cause I have read enough to earn me a spot there.You can predict your future though Zodiac ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tupo wengi so ata UsjalReally?? Someone told me to stop reading and listening to what zodiac signs says about me because its a sin, and I was just like [emoji15][emoji15],well am going to hell cause I have read enough to earn me a spot there.