Zodiac memes and quotes

Zodiac memes and quotes

Ndio mkuu team Aquarius hapa
giphy.gif
 
Mimi Pisces,nakumbuka Mara ya kwanza nimefahamu kuhusu zodiac signs nilivyosoma kuhusu Pisces nilishangaa Sana maana ilikua Ni Kama najisoma hahahah.
...nakumbuka kwenye birthday yangu mwaka jana Kuna mtu nipo nae kazini aligoogle hizo tabia za Pisces akanitumia eti anasema yaani nimesoma hizi nikawa nakuona kabisa this is totally you, sema kibongobongo Pisces tunateseka Sana😄😄
 
Mimi Pisces,nakumbuka Mara ya kwanza nimefahamu kuhusu zodiac signs nilivyosoma kuhusu Pisces nilishangaa Sana maana ilikua Ni Kama najisoma hahahah.
...nakumbuka kwenye birthday yangu mwaka jana Kuna mtu nipo nae kazini aligoogle hizo tabia za Pisces akanitumia eti anasema yaani nimesoma hizi nikawa nakuona kabisa this is totally you, sema kibongobongo Pisces tunateseka Sana[emoji1][emoji1]
You can predict your future though Zodiac ...
 
You can predict your future though Zodiac ...
Really?? Someone told me to stop reading and listening to what zodiac signs says about me because its a sin, and I was just like 😳😳,well am going to hell cause I have read enough to earn me a spot there.
 
Really?? Someone told me to stop reading and listening to what zodiac signs says about me because its a sin, and I was just like [emoji15][emoji15],well am going to hell cause I have read enough to earn me a spot there.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tupo wengi so ata Usjal
 
Back
Top Bottom