Zodiac memes and quotes

Zodiac memes and quotes

IMG-20220314-WA0065.jpg
 
Kiroho vina nguvu sana ambapo athari zake zile hasi au chanya huonekana kwenye mwili wa nyama
Kiukweli kuna kipindi niliwahi kufatilia na nikagundua vinaendana sana na mimi (virgo by date of birth and aries by first letter of the name) nilitaka nione kama ni kweli.. zodiac signs zinahitaji zaidi imani na uhalisia..
 
Mshana Jr, Kuna sehemu nilisoma ukiwa unajieleza kuwa elimu yako ya Mambo ya ajabu ajabu uliipata kiharali kwa kwenda chuo kabisa na ukasema Tanzania nzima mlikuwa nyie wwwili tu, yaani sikumbuki vema, Kama hup Uzi bado upo naomba nitaqie hapa niusome upya mkuu.
 
Back
Top Bottom