Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshana Jr, Kuna sehemu nilisoma ukiwa unajieleza kuwa elimu yako ya Mambo ya ajabu ajabu uliipata kiharali kwa kwenda chuo kabisa na ukasema Tanzania nzima mlikuwa nyie wwwili tu, yaani sikumbuki vema, Kama hup Uzi bado upo naomba nitaqie hapa niusome upya mkuu.
100% 😂😂😂Nimepatia?
ThanksA day in the Buddhist college
Hapa ndio chuo nilipoanzia kujifunza mambo ya Buddhism, meditation, chanting nk. Hii ni picha ya mwaka 1997, na hiyo ni sehemu ya wanachuo. Hiki kilikuwa ni chuo kugumu na chenye sheria kali kuliko jeshi, tulikuwa wanachuo 21 toka Tanzania lakini tulifanikiwa kumaliza chuo tulikuwa kumi tu na...www.jamiiforums.com