Zoezi gani zuri kutengeneza shingo bila kwenda gym

Victor wa happy

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
11,660
Reaction score
11,654
Wakuu msaada apo mwenye kufahamu zoezi la kutengeneza shingo tafadhali
 
Sorry wajameni, naona nimeingia cha kiume hapa

Au mko kwenye banda la kuangalizia mpira? Maana si kwa kauli hizi...
 
Aiseee kwa mara ya kwanza tangu mwaka uanze ndio nimecheka hadi kutoa machozi.... hii thread ni kiboko hongera sana mtoa mada.
 
Mtafuta msaada ghafla kageuka mbogo. Watu wana majibu khaaaaaah!
 
Hahahahahahhahahahaha...

Hahahahahahhahahahaha....

Hahahahahahahahahahah..

Very Fun...

Daaah sikutegemea kucheka hiv jion hii
 
Kuwa na mawazo mengi kichwa kitakuwa kizito na hapo shingo lazima iwe gado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…