Zoezi gani zuri kutengeneza shingo bila kwenda gym

Zoezi gani zuri kutengeneza shingo bila kwenda gym

Anza kutengeneza kifua,unakimbilia vitu vyepes vyepes tu[emoji2] [emoji2]
 
Nenda youtube kaandike "HOW TO REDUCE DOUBLE CHIN"
Video za mazoezi utaziona
mm pia ni mhanga
 
nafkiri mnahitaji kuangalia shingo za watu ili mumwelewe mtoa mada.....
 
mike-tyson-neck-reverse-bridge-training.jpg
 
Funga kamba juu ya mti alafu ufunge na shingoni uwe kama unabembea
 
kuna mazoezi mengi mojawapo ni lile la kuweka kichwa chini kama alivyokuwa anafanya mike tyson.


download (1).jpg

download (2).jpg

lakini pia ukipiga shoulders huwa inasaidia kujenga shingo.lingine lala chali weka mikono yako juu ya paji la uso then uwe unakinyanyua kichwa peke yake usinyanyue mwili mzima.

zoezi jingi unaweza fanya hivi .
download.jpg

chukua kitambaa flan funga kichwani then funga uzito ambao unaweza kuchukua kama ni dumu la maji au kitu flan ukafanya zoezi.
 
Back
Top Bottom