Zoezi la kufanya usafi kila mwisho wa mwezi liliisha baada ya Magufuli kuondoka

Zoezi la kufanya usafi kila mwisho wa mwezi liliisha baada ya Magufuli kuondoka

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Yaani Rais ame implement kitu chenye tija ila alipoondoka tu utaratibu umekufa viongozi huku local hawafuatilii tena. Kwanini isiitwe mandazi republic?
 
Yaani Rais ame implement kitu chenye tija ila alipoondoka tu utaratibu umekufa viongozi huku local hawafuatilii tena. Kwanini isiitwe mandazi republic?
Hata wakati huo ilikuwa unaleta kero tuu. watu walikuwa wanafunga maduka kwa kuogopa lakini hawafanyi lolote. ukienda dukani unakosa huduma. Mtanzania asili yake ni mchafu hasa public places
 
Hata wakati huo ilikuwa unaleta kero tuu. watu walikuwa wanafunga maduka kwa kuogopa lakini hawafanyi lolote. ukienda dukani unakosa huduma. Mtanzania asili yake ni mchafu hasa public places
Unajua ni kwanini rwanda ni cleaniest city africa
 
Ule ulikuwa upumbavu kama upumbavu mwingine wowote!
 
Kwa hiyo mleta mada wewe kufanya usafi kwenye mazingira yako ni hadi upangiwe siku na Rais? Hujui mijini watu wanakatwa pesa kulipa makampuni ya usafi? Kwa akili kama za mleta mada itatuchukua miaka mingi sana kupiga hatua.
 
Wanasubili kipindu pindu kilipuke ndo waanze kuja na matamko Yao utafikili hapo masokoni hawaoni,barabarani hawaoni,mitaani hawaoni tatizo ni kwamba wao wanaishi mitaa misafi ko hawawezi kujua ya wengine.

Kuna soko moja linaitwa ngamiani,mgandini ni kilio hasa Hilo la mgandini ukifika unaweza kulia ukidhani au basi,ngamiani ni mjini kati lakini utakuta Kuna jalala kabisa limeekwa.
 
Back
Top Bottom